Quadratic92
Senior Member
- Jul 11, 2025
- 129
- 146
Usimkatie tamaa mchezaji mapema hvo mkuu, kuwa na subira.yani hilo box lizibe pengo la zimbwe, Simba hawapo serious kabisa
Kwani kipindi Zimbwe anakuja simba alitoka wap?
Usimkatie tamaa mchezaji mapema hvo mkuu, kuwa na subira.yani hilo box lizibe pengo la zimbwe, Simba hawapo serious kabisa
Ukute hata mchezaji mwenyewe hamjuiUsimkatie tamaa mchezaji mapema hvo mkuu, kuwa na subira.
Kwani kipindi Zimbwe anakuja simba alitoka wap?
Ushabiki wa mpira bhana,kwa kusikiliza redio tu ushamwona ni balaahatari huyu mtu, Sirengo nakumbuka ilikuwa kombe la muungano kule zanzibar FAINALI, ilikuwa ndio mechi yake ya kwanza,, game naskiliza kwa RTD 😆,, balaaa zito huyu mtu.
alikuwa winga mkatili sana 🤣
We huoni hata Yanga ikishuka daraja au kuhama ligi bado ligi yetu haitashuka rank ya Africa,ubingwa wako mara 31 una faida gani kwenye rank ya Africa ?au kuchukua ubingwa ligi kuu mara 31 imekuzaje ligi kimataida?Ila hapo hapo unaona kuchukua ubingwa mara 31 kwenye ligi yenye thamani Africa, haina umuhimu
Kwa muda unavyokwenda ukifika mwishoni wa mwezi huu, sio rahisi kupata mchezaji quality sokoniNashangaa Simba hadi sasa hawajasajili wachezaji kwenye No 10 eneo lililowapa shida sana Msimu uliopita.
1. Hakuna beki wa kushoto kwa Kumpoteza Shabalala kwa upumbavu wa uongozi.
2. Hawana Beki 5bwa Kati wa maana No 5, kama Inonga.
3. Hawana kiungo mkabaji No 6 baada ya kuondoka viungo watatu kwenye hilo Eneo. Kiungo mkabaji kama Bangala.
4.Hawana No 10 wa maana kama Dumbia, Azizi chama au Feisal hadi leo wanambwela kusajili hapa Eneo lililowatesa sana simba.
SIJAJUA ATEBA NA BUDO KWANINI WAPO HADI LEO.
YANGA BINGWA 2025-26
simjui?!!, sawa tufanye simjui, wewe nitajie unayemjua ambaye anafika hata nusu ya quality ya Zimbwe interms of output yake uwanjani na Utimamu wa afya. brother like to like replacement ya Zimbwe jr haiwezi patikana Namungo inapatikana kwa pesa ndefu jambo ambalo wazee wa 10% wanalikwepa sana pale SimbaUkute hata mchezaji mwenyewe hamjui
simjui?!!, sawa tufanye simjui, wewe nitajie unayemjua ambaye anafika hata nusu ya quality ya Zimbwe interms of output yake uwanjani na Utimamu wa afya. brother like to like replacement ya Zimbwe jr haiwezi patikana Namungo inapatikana kwa pesa ndefu jambo ambalo wazee wa 10% wanalikwepa sana pale Simba
uchafu mtupu
HatimayeHere we go
Rank yako ina umuhimu gani kama huwezi kuchukua ubingwa mbele ya mtu uliyemzidi? Rank yako ina umuhimu gani kama wewe na uliyemzidi wote mnaishia robo fainali?W
We huoni hata Yanga ikishuka daraja au kuhama ligi bado ligi yetu haitashuka rank ya Africa,ubingwa wako mara 31 una faida gani kwenye rank ya Africa ?au kuchukua ubingwa ligi kuu mara 31 imekuzaje ligi kimataida?
Kapombe, kagoma, hamza,neo malema, fei????Kuna wachezaji saba wa Simba wako CHAN
Uchafu nii upi sasa hapouchafu mtupu
Wewe Huna unalojua kazi kukosoa Kila kinacholetwa.yani hilo box lizibe pengo la zimbwe, Simba hawapo serious kabisa
Kuna watu hujawatajakwenye Taifa starsKapombe, kagoma, hamza,neo malema, fei????
Hua napenda stats kama hiivi...sio Ile aiseee yule conte sjui ecua ni balaa moto wa kuotea mbali hapa ubingwa Hadi tuchoke wenyewe ....😂
Yan una kazi nzito humu ndani mkuuUkute hata mchezaji mwenyewe hamjui
Pascal msindo, Wilson nangu, kipa wa taifa stars kwenye chan....Kuna watu hujawatajakwenye Taifa stars