Wee kenge wa kijani acha ujuaji, leo zimbwe amekuwa malaika kisa kaondoka simba?simjui?!!, sawa tufanye simjui, wewe nitajie unayemjua ambaye anafika hata nusu ya quality ya Zimbwe interms of output yake uwanjani na Utimamu wa afya. brother like to like replacement ya Zimbwe jr haiwezi patikana Namungo inapatikana kwa pesa ndefu jambo ambalo wazee wa 10% wanalikwepa sana pale Simba
KWani umeshaiona simba ikicheza na sajili zake zote itakazotambulisha? Pinpin Camara Hana shida yoyoteTatizo sugu la simba ni namba 6, winga ya kulia na beki ya kulia.
Jambo la kukumbusha Simba kipa hakuna wa maana.
Anetokea wapi huyu
DRCAnetokea wapi huyu
Umemkomesha. Chalii
RB hapana Kuna Duchu na Kapombe. Atasajiliwa LB wa kigeni endapo usajili wa Paschal msindo utashindikana. DM anaweza kusajiliwa pia. Players wako ni wazuri sana. Basi tuMkuu Hichilema nasikia kua tunaitaji defensive mid...pia beki kushoto na kulia ...wa kigeni...
Mapendekezo yangu ya defensive mid...
Abdoulaye Cisse
Mohamed Camara
Sekou Koita
Tongo Doumbia
Bila kumsahau Linda Mtange na Raphael Ndong, kwa beki wa kushoto bado najiuliza kwanini wameshindwa gharama za kumsajili yule Khadim Diaw, kwa upande wa kulia kweli hata mimi nashauri watafute wa kusaidiana na Kapombe yule dogo Kameta siyo mzuri sanaMkuu Hichilema nasikia kua tunaitaji defensive mid...pia beki kushoto na kulia ...wa kigeni...
Mapendekezo yangu ya defensive mid...
Abdoulaye Cisse
Mohamed Camara
Sekou Koita
Tongo Doumbia
Shukran mkuu hakuna shuhul ya kimichezo naihusudu kama scouting ..anyway ...RB hapana Kuna Duchu na Kapombe. Atasajiliwa LB wa kigeni endapo usajili wa Paschal msindo utashindikana. DM anaweza kusajiliwa pia. Players wako ni wazuri sana. Basi tu
Hata sielewi kwanini mkuu hata hao.plyers uliowataja ni Wazuri sana pia...Bila kumsahau Linda Mtange na Raphael Ndong, kwa beki wa kushoto bado najiuliza kwanini wameshindwa gharama za kumsajili yule Khadim Diaw, kwa upande wa kulia kweli hata mimi nashauri watafute wa kusaidiana na Kapombe yule dogo Kameta siyo mzuri sana
Ilikuwa aje Simba ila dili lake la kwenda Ubelgiji liliingilia. Incase likifeli labda misimu inayofuataALLAN OKELLO