boss kuwa makini humu ndani, utapigwa kuna watu hawapendi hizi taarifaFeisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6
🤣boss kuwa makini humu ndani, utapigwa kuna watu hawapendi hizi taarifa
Kwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.boss kuwa makini humu ndani, utapigwa kuna watu hawapendi hizi taarifa
Nishakwambia kuwa FEI hawezi kucheza Simba msimu huuFeisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6
Kibongo bongo, Fei Toto ni mchezaji mzuri! Hilo halina ubishi. Ila asikuzwe kupitiliza kiasi cha kupewa utukufu asiostahili.Kwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Usishangae sana makolo kumkuza na kumtegemea mchezaji kupita uwezo wake.Kibongo bongo, Fei Toto ni mchezaji mzuri! Hilo halina ubishi. Ila asikuzwe kupitiliza kiasi cha kupewa utukufu asiostahili.
Mashabiki wengi wa simba wanamuona kama ndiyo suluhisho lao la muda mrefu! Ila kwa timu kama Yanga, Fei Toto ni mchezaji tu kama walivyo wachezaji wao wengine!
Yaani hakuna shabiki wa Yanga anayemlilia Fei Toto! kwa sababu wachezaji wanaocheza namba yake pale Yanga, wanafanya vizuri zaidi yake. Ila kwa simba, Fei Toto bado ni lulu. Kwa hiyo ikitokea akasajiliwa, hakika watafurahi sana.
Ulisema atacheza Simba msimu ujao siyo ?Nishakwambia kuwa FEI hawezi kucheza Simba msimu huu
Labda angoje mwakani mkataba ukitamatika
Hizo story za uongo wasimulie mashabiki mbumbumbu kutoka huko Kwa Mangungu
Kama Hana u special unamuongelea wa nini ..!Kwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Ndiyo Nilisema haipo FEI kusajili umbumbumbuni msimu huuUlisema atacheza Simba msimu ujao siyo ?
Peleka dollar million 1 upewe mchezajiHichilema nilisema hapa mkuu kila siku sitoacha kuitukana timu ya FROGS FC...Wana roho mbaya sana Hawa mbwa...kijana wa watu anataka kwenda zake kucheza ligi nyingine amechoka kuichezea Hilo timu lao bovu lenye ubinafsi na uchawi mwingi wnaamkatalia ..kaja wa Dola laki sita...imepigwa chini, imekuja Dola laki 8, imepigwa chini, wanataka Dola milioni 1...huu ni uuonevu na unyanyasaji mkubwa sana kwa mchezaji...wachezaji wanaokwenda hio timu ya mahaywani wajifunze na wapeww elimu kabla ya kusaini mikataba ya hio timu...rubbish kabisa...
Hapo sawaIlikuwa aje Simba ila dili lake la kwenda Ubelgiji liliingilia. Incase likifeli labda misimu inayofuata
Mbona kama umepaniki mtaalamKwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Ngara tunakujua jinsi ulivo shabiki wakutupwa wa uto, punguza hasira, mbona uto mnao wachezaji wengi wazuri kwanini hutaki kijana Fei aje simba?Nishakwambia kuwa FEI hawezi kucheza Simba msimu huu
Labda angoje mwakani mkataba ukitamatika
Hizo story za uongo wasimulie mashabiki mbumbumbu kutoka huko Kwa Mangungu
Bila kufanya vizuri kimataifa hiyo thamani unayoisema unaipataje? Thamani ya ligi ni kupitia kufanya vizuri mechi za kimataifa.Ila hapo hapo unaona kuchukua ubingwa mara 31 kwenye ligi yenye thamani Africa, haina umuhimu
Umetumia kipimo kipiMbona kama umepaniki mtaalam
Me nakwambia uhalisiaNgara tunakujua jinsi ulivo shabiki wakutupwa wa uto, punguza hasira, mbona uto mnao wachezaji wengi wazuri kwanini hutaki kijana Fei aje simba?
Na hapo nasikia wanamlipa 2m kama salary daah, hawa jamaa sio poa kabsa!Hichilema nilisema hapa mkuu kila siku sitoacha kuitukana timu ya FROGS FC...Wana roho mbaya sana Hawa mbwa...kijana wa watu anataka kwenda zake kucheza ligi nyingine amechoka kuichezea Hilo timu lao bovu lenye ubinafsi na uchawi mwingi wnaamkatalia ..kaja wa Dola laki sita...imepigwa chini, imekuja Dola laki 8, imepigwa chini, wanataka Dola milioni 1...huu ni uuonevu na unyanyasaji mkubwa sana kwa mchezaji...wachezaji wanaokwenda hio timu ya mahaywani wajifunze na wapeww elimu kabla ya kusaini mikataba ya hio timu...rubbish kabisa...
Alisaini mkataba Azam akiwa na mkataba Azam? Si Azam atashtaki? Unless useme Azam weshakubaliana na Fei kuwa hiyo B1 hailipwi we endelea una baraka zote.Feisali Salum alishasaini miaka miwili Simba toka siku naandika hapa. Kilichopo hapa ni either Azam wamuachie au avunje mkataba au washindwane aondoke bure msimu ujao kwenda Simba . Atapewa jezi namba 6