Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Umuhimu wa aliyechukua ubingwa mara 31 kwenye kuifanya ligi kuwa kwenye ligi bora haupimwi kwa huo ubingwa mara 31.
Sijasema ubora wa ligi unapimwa na ubingwa mara 31. Pia kama nafasi yako ya 5 haikusaidii kuchukua ubingwa mbele ya uliyemzidi, na kama nafasi yako ya 5 unaishia robo kama uliyemzidi basi haina umuhimu
 
Haina umuhimu kwa nani? Maana kwenye ligi tayari ina umuhimu imechangia ligi kupanda thamani Africa.
 
Uzi wa mazoezi
FB_IMG_1754407075474.jpg
 
Back
Top Bottom