Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

1754340128956.jpg
 
Kama Yanga hatakiwi kujisifia kuchukua kombe mara 31 basi hata simba hatakiwi kujisifia kuwa wa 5
Unaposema club bora Africa unaongelea timu za Africa nzima zikiwemo za Tanganyika.

Unaposema kombe mara 31 unaongelea timu za Tanganyika pekee.

Kama makombe 31 hayakufanyi kuwa bora kuzidi asiye na makombe 31 basi hayo makombe hayana thamani kuzidi nafasi aliyofika uliyemzidi makombe iliyosababisha akawa bora kukuzidi kwenye rank za Africa.
 
Unapozungumzia timu za tanganyika basi ni kwenye moja ya ligi bora Africa. Kama kuwa wa 5 hakukufanyi kuchukua ubingwa mbele ya huyu uliyemzidi basi nafasi yako ya 5 haina maana.
 
Nashangaa Simba hadi sasa hawajasajili wachezaji kwenye No 10 eneo lililowapa shida sana Msimu uliopita.

1. Hakuna beki wa kushoto kwa Kumpoteza Shabalala kwa upumbavu wa uongozi.

2. Hawana Beki 5bwa Kati wa maana No 5, kama Inonga.

3. Hawana kiungo mkabaji No 6 baada ya kuondoka viungo watatu kwenye hilo Eneo. Kiungo mkabaji kama Bangala.

4.Hawana No 10 wa maana kama Dumbia, Azizi chama au Feisal hadi leo wanambwela kusajili hapa Eneo lililowatesa sana simba.

SIJAJUA ATEBA NA BUDO KWANINI WAPO HADI LEO.

YANGA BINGWA 2025-26
 
hapo kwa Zimbwe wengi wapo katika false pretence and they're like "aende tu, kwanza alikuwa katika virusi" Qmaamae siwafichi my fellow simba fans itatutesa vibaya mno. Zimbwe siyo kwamba ni katika top full backs hapa BONGO ni Sub-Sahara yote. Angalia sasa tunavyohaha kupata like-to-like replacement ya Zimbwe na kamwe haitopatikana. 11 yrs pale simba alitikiswa na Asante Kwasi tu halafu akairudisha nafasi yake chap tu. Zimbwe anakuhakishia kupatikana kikosini msimu mzima unless awe na red card au kadi za njano. Conclusively Mbumbumbu sio mashabiki tu hata wale madalali walioaminiwa kuwa viongozi nao ni Mbumbumbu Pro max
 
Kwani simba wamemaliza kutambulisha sajili zao?
 
Unapozungumzia timu za tanganyika basi ni kwenye moja ya ligi bora Africa. Kama kuwa wa 5 hakukufanyi kuchukua ubingwa mbele ya huyu uliyemzidi basi nafasi yako ya 5 haina maana.
Mbona sasa unarudi kuonyesha umuhimu wa timu kufanya vizuri kimataifa? Au hujui vigezo vya ligi kuwa nafasi ya juu kwa ubora Africa?
 
Hili kombeee, Simba ameshalichukua pia. Hata kama Simba kabeba mara moja na Yanga mara zote. Sema jambo ambalo Yanga kafanya Simba hajawahi kulifanya. Mfano Simba hajawahi beba kombe la Toyota si ndio?
Haya ni maneno ya kujifariji ingekua hivyo Al Ahly asingekua anautaka ubingwa wa Egypt na Africa kwa sasa
 
hapo kwa Zimbwe wengi wapo katika false pretence and they're like "aende tu, kwanza alikuwa katika virusi" Qmaamae siwafichi my fellow simba fans itatutesa vibaya mno. Zimbwe siyo kwamba ni katika top full backs hapa BONGO ni Sub-Sahara yote. Angalia sasa tunavyohaha kupata like-to-like replacement ya Zimbwe na kamwe haitopatikana. 11 yrs pale simba alitikiswa na Asante Kwasi tu halafu akairudisha nafasi yake chap tu. Zimbwe anakuhakishia kupatikana kikosini msimu mzima unless awe na red card au kadi za njano. Conclusively Mbumbumbu sio mashabiki tu hata wale madalali walioaminiwa kuwa viongozi nao ni Mbumbumbu Pro max
Hili la Zimbwe nakuunga mkono 💯. Zaidi ya uzushi wa kuuza Mechi àmbao ni uongo wa mchana kweupe Hakuna sababu ya Msingi ya kumuacha Zimbwe akiwa na 28yrs.
 
Back
Top Bottom