Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Hichilema mkuu hii inaakaaje hii kua media puppet wa yanga eeti.anajipiga picha na wakala wa mpanzu ..eti tumeongea mengi...sjawah kuona watu wapumbavu kama watu wa yanga..
Mwingine mpumbavu eti anamloga sowah..kua msimu huu.hatafunga zaidi ya goli 3, nakuambia Yuko na chetezo na ubani sijui na matakataka Gani eti anachoma karatasi iliyoandikwa jina la sowah...nimeishia kucheka kama si kushangazwa na ujinga na upumbavu wa hii timu inaitwa yanga na watu wake