Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Yanga kachukua mara zaidi ya 30, wewe hujawai
Hili kombeee, Simba ameshalichukua pia. Hata kama Simba kabeba mara moja na Yanga mara zote. Sema jambo ambalo Yanga kafanya Simba hajawahi kulifanya. Mfano Simba hajawahi beba kombe la Toyota si ndio?
 
Kuwa top 5 ni kombe?
Ni mafanikio ya Club yenye maana kimapato na kiheshima kuliko hilo kombe la 31 la NBC unalosema. Ndo maana Mo anaota kuwa Club namba 1 Africa na si kuchukua ligi mara nyingi kumzidi Yanga.

Makombe si hata Ngarumbo Fc inayo ya mtaani kila msimu inabeba wachezaji wanachinjiwa jogoo?
 
Ni mafanikio ya Club. Au unavyoona kuwa club namba 5 kwa ubora Africa siyo mafanikio? Makombe si hata Ngarumbo Fc inayo ya mtaani kila msimu inabeba?
Makombe ya ligi kuu zaidi ya 30 ni mafanikio ya Club. Au unavyoona kuwa na makombe ya ligi kuu zaidi ya 30 sio mafanikio? Rank si hata Ngarumbo FC huko mtaani inakuwa ya kwanza?
 
Makombe ya ligi kuu zaidi ya 30 ni mafanikio ya Club. Au unavyoona kuwa na makombe ya ligi kuu zaidi ya 30 sio mafanikio? Rank si hata Ngarumbo FC huko mtaani inakuwa ya kwanza?
Ngarumbo FC anakuwa wa kwanza mtaani ambapo hakuna thamani/heshima kulinganisha na ligi kuu, Kama ambavyo kuchukua ligi mara nyingi kumzidi Yanga hakuna thamani/heshima kama kuwa rank za juu barani Africa.
 
Mkuu mim kwa maoni yangu naona sajili kuanzia morice Hadi huyo semfuko naona ni wachezaji machachari na sio Wazuri Yan ni Yale Yale ya Kua na wachezaji wengi bila sababu maalum..akina.omar Omar wameishia wapi akina Valentino mashaka ..hapo mim najua sajili mbili tu za mwanzo ni za mwalimu...
Bora wewe umeliona.... Sasa Maurice na Semfuko wanaenda kuongeza Nini wakati ulikuwa na Karabaka, Barua, Mashaka, Chasambi and the likes .. lakini tukiwaambia wenzako Simba wanakaza fuvu ...ngoja ligi ianze tuanze kumsikia tena kelele za gsm ...
 
Kwani jana usiku hakuna mbuzi nyingine iliyotambulishwa? Whether ni jangwani au msimbazi
 
Back
Top Bottom