Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

FB_IMG_1754055398506.jpg

Who is this?
 
Siyo yeye
Hahaha nshamjua ...😁😀,...mchezaji akija Simba ndio wanaanza kumdiscuss nidhamu mbovu ila angeenda kwa frogs FC Wala usingesikia , watu tushakua na wachezaji watukutu akina boban, akina Morison waliovua Hadi nguo uwanjani ila walipiga shuhuli na makombe tukachukua , ndio itakua huyu alieng'oa tu kibendera Cha Kona tu... 😂..SIZITAKI MBICHI HIZI FC...
 
Back
Top Bottom