mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
🤣🤣🤣🤣Mbona kama ameanza na utovu wa nidhamu, kamkosea heshima huyo aliyemuita Ababaa.
🤣🤣🤣🤣Mbona kama ameanza na utovu wa nidhamu, kamkosea heshima huyo aliyemuita Ababaa.
Ujumbe mwingi...staki kumaliza karatasi na mitiYaan hapohapo kamtaja sowah, mara akijigeuza geuza matangazo ya mo, mara karia mara BMT, mara penalty dkk 80, mara fadlu south, mangungu anarudi Sasa sijui kaenda wapi😂, mara gsm atadhamini timu 10 ..ama kweli nakubaliana na wewe kweli sindano imeingia😂
takataka hiyo hamnamo mtu humo
How?takataka hiyo hamnamo mtu humo
jawabu ni simple tu, sio mchezaji wa kucheza yanga ni kama konkoni na guede au yule somebody mbida pale simbaHow?
Ngoja tuone ila mimi naona ni mzurijawabu ni simple tu, sio mchezaji wa kucheza yanga ni kama konkoni na guede au yule somebody mbida pale simba
Qbaabake hapo inabidi pawekwe mdundo wa kwenye picha la kihindiAccount ya Simba SC instagram yamfollow FeiView attachment 3428040
Kuna kiungo DM)anakujaSijui Simba wanawaza nini, lakini wanahitaji DM mwingine mwenye IQ nzuri ya kuusoma mchezo.
Moja kati ya maeneo ambayo yaliisumbua Simba msimu jana ni eneo la kiungo.
Wameondoka viungo watatu halafu unasajiri kiungo mmoja tu tena sio DM.
Usajiri huu naona wanajaza watu tu kule mbele. Bado wananafasi ya kuongeza mtu katikati kusaidiana na Kagoma, la sivyo bado backline ya Simba itakuwa inafikika kirahisi sana kama msimu jana.
Kuna kiungo DM)anakuja
Kwani malengo ya Yanga yamemzunguka Simba? Kwamba Simba dhaifu ni mafanikio kwa Yanga? Binafsi naona msajili kulingana na mashindano ya Africa, huku ndani nini hamjawahi kupata? Kumtazama Simba anafanya nini ili muharibu mipango yake kutawaumiza tu in long run.Yanga tunapaswa kuhakikisha kuna namna sehemu moja hapo mzazi usikae sawa hata kwa kumchukua Mpanzu au Feisal asiende Simba.
Na kutengeneza uadui usio na faida ..na actually waarabu ndio wanaombea hilo ili mana Sasa iwe rahisi wakija Tanzania mechi za ligi ya mabingwa wapate urahisi wa kuondoka na ushindi..Kwani malengo ya Yanga yamemzunguka Simba? Kwamba Simba dhaifu ni mafanikio kwa Yanga? Binafsi naona msajili kulingana na mashindano ya Africa, huku ndani nini hamjawahi kupata? Kumtazama Simba anafanya nini ili muharibu mipango yake kutawaumiza tu in long run.
Mkuu tangu lini yanga wakawa na malengo yao kivyaovyao wao mafanikio yao makubwa ni kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba tu wanasubiri simba wafanye ili wao waje walipize, mashabiki wao wanaumia kufungwa na simba kuliko hata kuishia makundi kimataifa yani ili mradi wanawafunga simba basi huko kimataifa wala siyo shida zao washaridhika, na ukitaka kuthibitisha hili ukisema haya watakuambia kwani simba wamefanya nini huko kimataifa yani wao as long as simba hawajafanya kitu fulani basi nao hawaoni haja ya kufanya hicho kitu halafu ndio wanajiona boraKwani malengo ya Yanga yamemzunguka Simba? Kwamba Simba dhaifu ni mafanikio kwa Yanga? Binafsi naona msajili kulingana na mashindano ya Africa, huku ndani nini hamjawahi kupata? Kumtazama Simba anafanya nini ili muharibu mipango yake kutawaumiza tu in long run.
Kaenda MoroccoOoh kama ni hivyo, sawa. Kuna mmoja somebody Rodrigue Kossi walikuwa wanahusishwa nae, imekuwaje?
Upumbavu wake niniFeisal akienda Simba atakuwa mpumbavu sana.
Oooh sawa mkuu... So Kama kuna DM anakuja means kuna wachezaji wawili wa kigeni Simba panga litawapitia.Kaenda Morocco