Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Huu utambulisho sowah kila akijigeuza anaonyesha tangazo la bidhaa za mo.
Oky ligi ianze, yanga achukue ubingwa coz Kwa huu usajili Simba Bado hawez kuwa bingwa na karia yanga wamemthibiti kupitia BMT, so hakuna penalty za dakika ya 80, penalty za kuokoa point tatu.
January fadlu atakuwa south, na mangungu atarudi, GSM atawatoa wazee wetu wa Simba kuhusu udhamini wa timu 10 make anaongeza mbili.
Wenye akili wameelewa au watatoa muda kujua hiki nisemacho bila matusi, ni ubashiri tu odds ni 1.4 against odds 9.6
 
Kuna K VAnt hapo mezani? Mbona hueleweki
 
FB_IMG_1754077208955.jpg
 
Huu utambulisho sowah kila akijigeuza anaonyesha tangazo la bidhaa za mo.
Oky ligi ianze, yanga achukue ubingwa coz Kwa huu usajili Simba Bado hawez kuwa bingwa na karia yanga wamemthibiti kupitia BMT, so hakuna penalty za dakika ya 80, penalty za kuokoa point tatu.
January fadlu atakuwa south, na mangungu atarudi, GSM atawatoa wazee wetu wa Simba kuhusu udhamini wa timu 10 make anaongeza mbili.
Wenye akili wameelewa au watatoa muda kujua hiki nisemacho bila matusi, ni ubashiri tu odds ni 1.4 against odds 9.6
Unaongea kama mtu aliyechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom