Ni ubingwa upi huo wa ulaya aliochukua man u msimu huu au unamaanisha kufika fainali ya europa ama umewachanganya na tottenham ambao ndio waliochukua huo ubingwa, halafu inategemea na timu alizokutana nazo man u huko hadi kufika hiyo fainali simba msimu huu ulioisha hawajakutana na timu mbovu hata moja cafcc kwenye hatua za robo na nusu fainali, wapinzani wote wa simba wamemaliza msimu kwenye top four katika ligi zao siyo kama wengine waliokutana nusu fainali na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao halafu kutwa kutupigia makelele utadhani walikutana na kina madrid