Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Manchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??
Man U ipi bro😂😂😂,Ubingwa wa ulaya gani unaozungumza.
Wacha nikuweke Sawa.

Man U amemaliza ligi nafasi ya 15 kwenye EPL ameingia fainal ya EUROPA na akafungwa na Tot 1-0

IKUMBUKWE Tot amemaliza ligi nafasi ya 17.

Njoo kwa simba Sasa,
Amefungwa Fainal na Team iliyomaliza nafasi ya kwanza ligi. Morocco.
Nyumbani simba ameshika nafasi ya Pili.

Kaa kwa kutulia bro.
 
Hatacheza...kocha kapewa nguvu sijui kama umenielewa. .ila unachosema hakipo mana kocha mwenyewe anamkubali fei. Kwaio hoja yako ni MFU.
Basi tuwekee orodha ya wachezaji ambao kocha hajawapendekeza ili tuwajue, hata wasipocheza tusihoji

Labda niko nyuma sana na mpira. Naomba uthibitisho kocha wa simba akionyesha hali ya kumkubali Fei ili hoja yangu isiwe "MFU".
 
Na wewe naomba sababu kwamba kwa nini hudhani kua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.
 
Mimi sijadhani ila nimehoji uhalisia wa kauli yenu kwamba kocha asipompendekeza mchazaji basi hachezi. Ndiyo maana nimeomba uthibitisho, kocha akiwa anamkubali Fei ili hoja yangu iwe MFU kama ulivyosema.
 
Na wewe naomba sababu kwamba kwa nini unahoji kwa kudhania yakua kocha wa Simba hawez kumkubali huyo mchezaji ili na Mimi niweze kukudhibitishia kua mchezaji huyo anapendwa na karibia makocha wote wa ligi kuu sio simba tu.
 
Sijahoji kwa kudhani, ila nimehoji uhalali wa kauli yako ya kwamba kocha asipompendekeza mchezaji, basi hachezi. Yani hata mchezaji akionyesha kiwango kizuri, basi sababu hajapendekezwa basi asicheze
 
Siasa ni upumbavu. Sababu ya polepole timu za karia koo zitatambulisha wachezaji saa 4 usiku badala ya saa 3
 
Sijahoji kwa kudhani, ila nimehoji uhalali wa kauli yako ya kwamba kocha asipompendekeza mchezaji, basi hachezi. Yani hata mchezaji akionyesha kiwango kizuri, basi sababu hajapendekezwa basi asicheze
Lazima kuheshimu.makubaliano mliyoingia hata akicheza vizuri Bado mmekua mmevunja makubaliano na ana Haki ya kutomchezesha huyo mchezaji hata akiwa anacheza kama Mbappe.
 
Yeah hata mimi nilisikia fadlu kasema msimu ujao hatamtumia mchezaji yeyote ambaye si pendekezo lake, mimi naona simba tuende hivi hivi na kama timu itaanza kufanikiwa basi tutajua mchawi nani (japo mangungu muda wake ukiisha inabidi atupishe), maana nasikia safari hii wale wazee wa asilimia kumi na wale mamluki wamewekwa pembeni kwenye usajili nao wanasubiri kusikia mitandaoni kama sisi tu
Mangungu nimemuona katavi huku eti kaniambia anatafuta wachawi wa radi kwa ajili ya kuwaleftisha wachezaji wa uto.
 
Screenshot_20250731-223147_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom