Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Ndicho mlichobakiza hikiMakolo mna hasira
Ndicho mlichobakiza hikiMakolo mna hasira
Nyie sajilini hao akina bajaj, Rushaina na khadim mkipigwa 5 muanze kulalamika GSMNdicho mlichobakiza hiki
No aliyetambulishwa sasa hivi ni morice abraham, mimi binafsi huwa siangalii sura ila ngoja tuone maana hata hapa africa wanaotugaragaza ni hao hao waarabu, kuna yule beki khadim diaw walisema amesajiliwa kumbe bado na hata sijui wanasubiri nini
Anacheza nafas ipi huyu dogo mkuuNo aliyetambulishwa sasa hivi ni morice abraham, mimi binafsi huwa siangalii sura ila ngoja tuone maana hata hapa africa wanaotugaragaza ni hao hao waarabu, kuna yule beki khadim diaw walisema amesajiliwa kumbe bado na hata sijui wanasubiri nini
Huyo ndo FEI
Watakukimbiza na mapanga mkuu na matusi juu...ila unaweza shangaa wakasema aende tu wanamtakia kila la heri..ila angekuja Simba wangesema ni mchezaji mbovuThank you Clement Mzize
Mungu anitie nguvuWatakukimbiza na mapanga mkuu na matusi juu...ila unaweza shangaa wakasema aende tu wanamtakia kila la heri..ila angekuja Simba wangesema ni mchezaji mbovu
😂😂😂😂 Nimefunga kwa ajili yako 😂Mungu anitie nguvu
Nani ana ubavu wa kukataa Dola laki Tisa ? Wamwache akapige pesa za waarabu pengine huko al hilal ama al nasr watamuona kijanaThank you Clement Mzize
Sawa ninyi subirini akina kouma wawavushe makundi klabu bingwaNyie sajilini hao akina bajaj, Rushaina na khadim mkipigwa 5 muanze kulalamika GSM
Yanga anabeba ubingwa wa CAFCLSawa ninyi subirini akina kouma wawavushe makundi klabu bingwa
Hapana mkuu huyu inasemekana yuko vizuri jamaa ni left back, halafu sidhani kama tumepata replacement ya zimbwe maana rushine ni replacement ya che malone, atacheza kama centre back sasa sijui viongozi wana mpango ganiHehehe labda Kuna mtu alitaka kuingizwa kwenye mfumo..diaw ni beki wa kati ama left
Huyo Morice ni number 10Anacheza nafas ipi huyu dogo mkuu
Lakini mashabiki wao wanakuambia eti Wanatamani abaki aendelee kuifunga simba 😅😅Nani ana ubavu wa kukataa Dola laki Tisa ? Wamwache akapige pesa za waarabu pengine huko al hilal ama al nasr watamuona kijana
Haya maneno si mageni jijini hayo mashindano ya kina mama ndio yalifanya ninyi msijiite kina mwakarobo, msimu uliopita pia mlisema mtabeba ubingwa wa cafcl na hakuna timu ya kuwafunga africa mkataka mcheze na malaika, lakini kilichotokea wote tuliona matokeo yake makasiriko yakahamia kwa simba mpaka sasaYanga anabeba ubingwa wa CAFCL
Sio mbumbumbu kucheza shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
benjamin tanim 2.5bilioniMzize amejiunga na timu ya Qatar Kwa uhamisho wa dollar 900,000 Kwa pesa za kitanzania ni Billion 2
Huu ndo usajili uliovunja record Kwa mchezaji kutoka ligi ya kuu ya Tanzania
Yanga wasingekataa huu mkwanja
Hongera Yanga Kwa kumuuza mchezaji mliomtengeneza kutoka kwenye academy
Asante sana😂😂😂😂 Nimefunga kwa ajili yako 😂
Kumradhi mkuu🤣🤣Samahani mkuu sio Kwa UBAYA
Ilo ni bonge la dundo.,
Na linapiga boli kama kawa,fatilia historia
ILA KUTUTUKANA WA NZOVWE SIJAPENDA