Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Mbona kama umekasirika hivi brother?Dogo unajionesha jinsi Gani hujasoma na huna akili mana ulikmbia maswali yangu yenye akili, wewe na wenzako wa frogs FC huku hamna kitu kichwani zaidi ya kua oya oya tu..Yan wewe kapuku unajadili bilioni 2 za mkataba wa mtu , hata buku Tano tu inakushinda.🚮
Mambo ya kusoma, sijui buku tano yanahusiana vipi hapa?
Haya bhana msomi, tajiri na mipesa yako, ila swala la Feisal kucheza Simba msimu huu, endelea kupiga nyeto tu.