Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Alafu akisha banwa mapumbu, hukataa kua yeye sio kolokoloni.
Dogo unajionesha jinsi Gani hujasoma na huna akili mana ulikmbia maswali yangu yenye akili, wewe na wenzako wa frogs FC huku hamna kitu kichwani zaidi ya kua oya oya tu..Yan wewe kapuku unajadili bilioni 2 za mkataba wa mtu , hata buku Tano tu inakushinda.🚮
 
Biashara za matajiri katu kapuku hawezi jua. Ndio maana Masanzu anasema Sowah katolewa bure. Tumsimlaumu kwa sababu inawezekana matajiri wamelipana juu kwa juu wenyewe kwa wenyewe au kupitia makampuni yao halafu yeye Masanzu anasubiri aone muamala kwenye benki akaunti ya timu ya Singida. Mwambieni anajichosha bure mitandaoni na redioni anakokesha akipiga kelele na kushupaza shingo kuwa Sowah katolewa bure.

Vivyo hivyo kwenye suala la Feitoto lolote linaweza kutokea kwani sasa hivi imebaki mazungumzo kati ya matajiri wawili. Huko sio Zaka Zakazi, Hashim Ibwe au Ahmed Ally wanaoruhisiwa hata kupita karibu wakati mazungumzo yanaendelea. Kwa hiyo hao wasemaji wote wa Simba na Azam wasimalize maneno waweke akiba ya maneno ili likija kutokea la kutokea wasibaki na aibu. Tuwape muda matajiri wazungumze wenyewe watamalizana kwa aidha Fei kwenda Simba au kubaki Azam. Hakuna linaloshindikana chini ya jua ndio maana wiki mbili tu zilizopita mtu angeanzisha uzi hapa kusema Sowah anaenda Simba angetukanwa kila aina ya tusi na watu wote hapa jamvini wa Yanga na hata wa Simba.

Ni mtizamo tu
Wasemaji wanatakiwa waongee kile wanachoambiwa na viongozi wao Ila wao wanajifanya Kama wamiliki wa timu wanaongea mpaka Mambo ya kiufundu ya timu wakati Hilo ni jukumu la kocha.
 
Ishu inaweza isiwe hela lakini kumpata Feisal inaweza ikawa ngumu,Azam ni timu ambayo suala la hela hawawazi kama wanataka kuendelea naye, Msimu uliopita Fei alikiwasha sana Azam sidhani kama watashawishi na hela.
 
FB_IMG_1753813643377.jpg
 
Sisi kama yanga tumeumia sana chemalon kuachwa alikuwa anatoa assist sana
Ule ni mfumo (Chepassback) uchawi wa Che malone Fondo, toka amekuja hajui kwenda mbele yeye akipata mpira, hajui kingine zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa.
a
 
Back
Top Bottom