Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Kosa lake ni lipi? Je una uthibitisho upi kutoka kwa viongozi wa Simba kuwa. Hichilema amekosea? Uzuri ni kwamba ukitukana na ukipaniki basi uneishiwa hoja na hujui kujadiliana kwa hoja.
We mjinga tumia akili ndogo.....micky jnr ni professional journalism,, Anajali kazi yake,, anafanya kazi yake kwa uhakika.....huyu Hichilema ni muhuni tu kama wahuni wengine.....amekosea mangapi???,,, nikimwona wa mchogo juzi akijinadi eti simba imemsajili feitoto.....huko nyuma ashaboronga pia......Sources ni moja tu:micky jnr dadadakekiiii!!
 
We mjinga tumia akili ndogo.....micky jnr ni professional journalism,, Anajali kazi yake,, anafanya kazi yake kwa uhakika.....huyu Hichilema ni muhuni tu kama wahuni wengine.....amekosea mangapi???,,, nikimwona wa mchogo juzi akijinadi eti simba imemsajili feitoto.....huko nyuma ashaboronga pia......Sources ni moja tu:micky jnr dadadakekiiii!!
Umaskin na chuki ndivyo vinavyokusumbua, ulifanikiwa kuviondoa hivyo itakua jambo jema kwako
 
Kwani Yanga waliwahi kukuambia wamemsajili huyo mchezaji ili awasaidie kwenye kufunga magoli na kutoa assist? Mbona unapenda sana ubishi usio na ulazima wowote ule!
Unabadilisha hoja ya msingi (kama Aucho aliwahi kumaliza msimu bila assist wala goli) na kuibadilisha kuwa hoja ya “Yanga walimsajili kwa ajili ya assist na magoli.”
Tatizo: Hii si hoja iliyoulizwa. Hoja ilikuwa ni tathmini ya takwimu, si malengo ya usajili.

Mwanzo nilipoanza huu mjadala mlikuwa mnapinga kwa references za kupoint mifano ya baadhi ya Defensive Midfielders kina Aucho sijui Busquets nk.

Ni kwasababu mliamini kuwa inawezekana na ni hali ya kawaida kwa kiungo wa ulinzi kucheza mechi 55 bila goli wala assist.

Lakini baada ya mimi kukosoa hizo references zenu kwa kuwawekea namba halisi za hao wachezaji tena katika mechi 27 tu ambazo ni nusu ya mechi alizocheza Conte, taratibu kazi ya kumtetea mwamba ikawa ngumu.

Ndio hapo baada ya kukosa mifano, kukosa hoja zenye nguvu, kukosa ushahidi wa kuonesha jambo hilo ni kawaida kwenye mpira mmeanza kuja na

Mimi sijali Yanga wamemsajili kwa malengo gani.

Huu ni uzi unaolenga kuleta taarifa za wachezaji wapya wanaosajiliwa katika dirisha hili.

Namimi hapa nacho kifanya ni kujaribu kuangalia katika carrer yake kuna rekodi gani ambazo zinaweza kumtambulisha kama mchezaji wa class ya juu.

Hii ni katika kupanua mjadala na kwa watu wengine hata wasiomjua wajue Yanga wamesajili mchezaji wa type gani.
 
Che Maloni ametambulishwa rasmi USMA ya Algeria
Screenshot_20250729-004400.png
Screenshot_20250729-004444.png
 
Ila mpira una dharau sana, humu mtu akishashiba mihogo na simu kafunga na rubber band lakini anacomment "watupe Bilioni 1 yetu wao watajuana na Azam" au "tumetoa milioni 600 kumsajili Conte" 😂 mara "Simba maskini wale, hawana bilioni 2"

Nawakubali matajiri, tuko pamoja 😂
 
Back
Top Bottom