Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Nenda kamsikilize Zaka za kazi, utajiridhisha.
Hata mimi lile swala la mkataba uliopo baina ya Yanga na Azam kuhusu kuuzwa kwa Feisal nilidhani viongozi wetu (wa yanga) wanatupanga tu.
Ila nilipo msikiliza kwa makini Zaka za kazi ndipo nikaamini maneno ya viongozi wa Yanga.

Amini na kwambia hakuna club ya Tanzania inayoweze kulipa Billion 2 kwa mchezaji mzawa.

Kama Simba munayaweza tuonyesheni.
Mkataba wa Azam na Fei si wa milele, utakwisha na ataamua analotaka iwapo ni kubaki Azam, kucheza Yanga, kwenda Simba, Pamba au popote.
 
Wewe dogo jibu swali hapo nimekuuliza, kwanin huyo mchezaji unayemtaja hawezi kucheza Simba??
Nimesha kujibu hapo juu.
Kwamba Simba hamuna jeuri ya kulipa Billion 2 tena kwa mchezaji wa ndani.
Kama munaweza onyesheni tuone.

Nyinyi tulieni muletewe wachezaji wenu wa sagula sagula kama mulivyo zoea, kuhusu Feisal endeleeni kupiga nyeto tu
 
Mkataba wa Azam na Fei si wa milele, utakwisha na ataamua analotaka iwapo ni kubaki Azam, kucheza Yanga, kwenda Simba, Pamba au popote.
Kwa msimu ujao sawa, ila kwa msimu huu endeleeni kulishana matango pori tu.
 
Kwa msimu ujao sawa, ila kwa msimu huu endeleeni kulishana matango pori tu.
Hata kama B mbili ingekuwepo sio akili kufanya hiyo biashara kwa mchezaji ambaye kabakisha mwaka mmoja. Hata B1 sioni huo ulazima maana kama mchezaji yupo tayari atakuja kiwepesi zaidi mkataba wake ukiisha.
 
Nenda kamsikilize Zaka za kazi, utajiridhisha.
Hata mimi lile swala la mkataba uliopo baina ya Yanga na Azam kuhusu kuuzwa kwa Feisal nilidhani viongozi wetu (wa yanga) wanatupanga tu.
Ila nilipo msikiliza kwa makini Zaka za kazi ndipo nikaamini maneno ya viongozi wa Yanga.

Amini na kwambia hakuna club ya Tanzania inayoweze kulipa Billion 2 kwa mchezaji mzawa.

Kama Simba munayaweza tuonyesheni.
Uliona huo mkataba kati ya Azam na Yanga?watu mnawaaminije wasemaji wa bongo,ukweli wa mchezaji usubiri msimu uanze atacheza wapi,bongo kila kitu ni uzushi
 
Nimesha kujibu hapo juu.
Kwamba Simba hamuna jeuri ya kulipa Billion 2 tena kwa mchezaji wa ndani.
Kama munaweza onyesheni tuone.

Nyinyi tulieni muletewe wachezaji wenu wa sagula sagula kama mulivyo zoea, kuhusu Feisal endeleeni kupiga nyeto tu
Dogo , kwanini Simba hawana uwezo wa kulipa bilioni 2 kwa mchezaji wa ndani? Naomba maelezo ya kina...
 
Mwigulu wa kukupa kitu bure wakati Yanga wanakitaka
Auzwe wapi bhana, mumepewa bure tu, kwa hisani ya Mwigulu.

We jamaa Feisal asipoenda Simba, sijui utakiweka wapi kisura chako hicho.

Rudi kamsikilize Zaka Zakazi kilitolea ufafanuzi swala hilo.

Acha kuwaaminisha mbumbumbu wenzio upuuzi, ambao mwisho wa show usipotimia utakuletea kutoaminiwa habari zako hapa JF.
Zakaria siyo Muhindi, siyo mwanafamilia, hana hisa Azam. Tuliza akili, wengine tuko mbele ya muda
 
Tena ni zaidi ya uhaini wenyewe.
Maana kwa kelele mulizo piga jana, alafu mwisho wa show asitue umbumbumbuni!
Kuna mambo inabidi uyafurahie kama yanavokuja kama yanga walivyoshangilia kuskia Mpanzu lazima acheze kwao na msemaji wao akadai Mpanzu akicheza Simba msimu ujao atatoa Milioni 10.

Utani usikutoea akili
 
Back
Top Bottom