Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mzee mbona unakimbilia kwenye hitimisho wakati tupo katika msingi wa hoja? Unaanza kusema habari za hamfanyi awe fixed wakati umeambiwa toa majukumu ya kiungo mkabaji. Elezea majukumu kwani kuna sehemu nimeongelea habari ya fixes sehemu moja?

Nataka uorodheshe majukumu ya kiungo mkabaji mbona swali dogo tu
Offensive strategies hujaisoma kama ni role ya Modern DM?
 
Me wala sikufautilii wewe
Huu Uzi una wachangiaji wengi waelewa.
Jamii forums ni jukwaa huru ni hapa kusoma na kutoa maoni
Hapa nakukemea acha kupotosha
Nina uhakika muda sio mrefu utaumbuka Kwa kuwaaminisha mbumbumbu ati FEI atacheza Simba na ukijua mkataba ulivo na Bado Azam wanahitaji FEI kwenye project ya coach Ibenge
Hapo kwa Feitoto, yatamkuta kama yaliyo mkuta Mhasibu.
Jamaa kang'ang'ana Feitoto anaenda Simba utadhani yeye ni Try again.

Sasa ngoja Feisal asiende Simba, ndio atajua ajui.
 
We jamaa Feisal asipoenda Simba, sijui utakiweka wapi kisura chako hicho.

Rudi kamsikilize Zaka Zakazi kilitolea ufafanuzi swala hilo.

Acha kuwaaminisha mbumbumbu wenzio upuuzi, ambao mwisho wa show usipotimia utakuletea kutoaminiwa habari zako hapa JF.
Hata Masanza alikua anakaza Sowah hawezi kununuliwa hapa bongo, mwisho wa siku wamekuja na swaga za kua ameenda simba kwa makubaliano maalumu. Soka letu kivyetu vyetu
 
Hata Masanza alikua anakaza Sowah hawezi kununuliwa hapa bongo, mwisho wa siku wamekuja na swaga za kua ameenda simba kwa makubaliano maalumu. Soka letu kivyetu vyetu
Brother, endeleeni kupiga nyeto tu, ila swala la Feitoto kusaini Simba hilo halipo.
Ila kwakua nyinyi ni mbumbumbu endeleeni kutuonyesha umbumbumbu wenu.
 
Brother, endeleeni kupiga nyeto tu, ila swala la Feitoto kusaini Simba hilo halipo.
Ila kwakua nyinyi ni mbumbumbu endeleeni kutuonyesha umbumbumbu wenu.
Kwani asiposajiliwa ni uhaini?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hechilema uje utuambie hapa kabla adhana haija adhiniwa.
Feitoto keshasaini Simba, ama jana ulikua vyombo tu, ukaamua kuzingua mbumbumbu wenzio?
 
Hechilema uje utuambie hapa kabla adhana haija adhiniwa.
Feitoto keshasaini Simba, ama jana ulikua vyombo tu, ukaamua kuzingua mbumbumbu wenzio?
Wewe dogo jibu swali hapo nimekuuliza, kwanin huyo mchezaji unayemtaja hawezi kucheza Simba??
 
Kwanini haiwezekani huyo mchezaji kucheza Simba ..
Nenda kamsikilize Zaka za kazi, utajiridhisha.
Hata mimi lile swala la mkataba uliopo baina ya Yanga na Azam kuhusu kuuzwa kwa Feisal nilidhani viongozi wetu (wa yanga) wanatupanga tu.
Ila nilipo msikiliza kwa makini Zaka za kazi ndipo nikaamini maneno ya viongozi wa Yanga.

Amini na kwambia hakuna club ya Tanzania inayoweze kulipa Billion 2 kwa mchezaji mzawa.

Kama Simba munayaweza tuonyesheni.
 
Back
Top Bottom