Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ndio mchezaj yoyote utakayemsikia ni WA yanga..

Leo wanapanga kumtambulisha Mohamed huseni ili watrend na kuivuruga Simba ambayo kiuhalisia imeshaparanganyika..
hivi simba shida ni nini pale viongozi wanakula pesa nini
 
Kwa kweli asamehewe maana kwa namna alivyotaja yeye kwa sasa inaweza kuwa sawa na bilioni 480 tsh,
wakati uhalisia ndo huo uliosema wewe ambao inaweza kuwa sawa na milioni 480 tsh.
 
Ndio mchezaj yoyote utakayemsikia ni WA yanga..

Leo wanapanga kumtambulisha Mohamed huseni ili watrend na kuivuruga Simba ambayo kiuhalisia imeshaparanganyika..
Simba ipo Imara Mkuu haijaparaganyika

Kila mshabiki wa Simba ameshajua hizi propaganda za upande WA pili, mwanzoni zilikua zinawachanganya ila sa hizi wameshajua kinachoendelea
 
Mkuu msamehe tu nafikiri alimaanisha $180.000.
Amsamehe kwa lipi kwan amekosea nini hapo ..watu kujitia ujuaji tu..unafikiri hawjajua kua alimanisha Dola laki Moja na elfu 80? Na unadhan hawajasoma taarifa za huyo mchezaji aliepigwa picha akicheza Bao na rais wa hio timu.... Kujifanya ujuaji tu na kutaka.kulambwa makalio..
 
Ndo mimekuja kuelewa game linavyoendeshwa kipindi hiki Cha usajili.

Kama mchezaji anatakiwa na Yanga, waandishi (sijui wanalipwa??) wanazusha eti Simba wanamtaka, baadae Yanga wanamsajili, halafu inaonekana Yanga wamewapokonya Simba mchezaji.

Aiseee!!!! Asante sana mkuu felakuti Kwa kunifungua macho na akili. Ulilisema hapo juu, nikafatilia huko insta, m*am*ae

Kule insta mtu ninaemwamini japo kidogo ni Mick
Umechelewa sana kujua hili. Objective ni kuonyesha Simba wamepokonywa
 
Ni rasmi sasa , tetesi namba 26
Screenshot_20250723-144740_Facebook.jpg
 
una uhakika ni propaganda wakati timu inafanya vibaya kila mtu anaona
Chini ya kocha mpya fadlu kwa msimu WA kwanza wa project yake timu haijafanya vibaya ukiringanisha na misimu 3 nyuma, kwa msimu wake WA kwanza kacheza fainal kombe shirikisho Africa na kapoteza ubingwa mechi ya mwisho ndo imeamua bingwa

Ndo maana unaona Kuna wachezaji wameachwa ili kuongeza wenyengine wenye ubora

Hizo propaganda za Kwa Simba inamtaka mchezaji furani baada ya muda unaambiwa mchezaji huyo anatakiwa na yanga na wamemsaji,huo mtego mashabiki wa simba wameshaunasua
 
Back
Top Bottom