mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 783
- 835
Unasemaje ushamba?? We wachezaji wazuri unasajili kutoka timu nyingine ni ushamba unafanya au ni suala la biashara huria??Ni ushamba tu. Washamba wa bush kabisa.
By the way,, Jonathan sowah rasmi Simba...ateba out...Dili la ataba mezani lilikua na pesa nyingi.