Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Kutokea timu ganiNi rasmi sasa , tetesi namba 26View attachment 3415726
Kutokea timu ganiNi rasmi sasa , tetesi namba 26View attachment 3415726
🤣🤣🤣"Mnyama kumsajili Korodimbwi siku yoyote"
"Korodimbwi kampigia Hersi kuomba ushauri"
"Vyura wanasa sain ya Korodimbwi" Mnyama kazubaa sana.
Alisikika mchambuziii.
Mkuu mbona una maelezo mengi sana 😃Chini ya kocha mpya fadlu kwa msimu WA kwanza wa project yake timu haijafanya vibaya ukiringanisha na misimu 3 nyuma, kwa msimu wake WA kwanza kacheza fainal kombe shirikisho Africa na kapoteza ubingwa mechi ya mwisho ndo imeamua bingwa
Ndo maana unaona Kuna wachezaji wameachwa ili kuongeza wenyengine wenye ubora
Hizo propaganda za Kwa Simba inamtaka mchezaji furani baada ya muda unaambiwa mchezaji huyo anatakiwa na yanga na wamemsaji,huo mtego mashabiki wa simba wameshaunasua
Ndugu Romain Folz karibu sana Tanzania huku soka letu kivyetuvyetu, kila shabiki ni mjuzi kuliko Coach
Kama official pages za klabu hazijasema basi ni taarifa za kizushi mkuu.Ni kweli jonathan sow kasinya msimbazi?
Kama official pages za klabu hazijasema basi ni taarifa za kizushi mkuu.
www.panafricafootball.com
Shida yako unapenda kusikia vitu unavyopenda wewe,usivyovipenda hutaki kusikia.Yan ni vichekesho sjui wamelipwa sh ngapi Hawa waandishi uchwara...Wana njaa kweli kweli...mtu anasajiliwa ndani ya dakika 15 😂😂 Micky ndio mana wanamchukia sana , yule msomali Kuna kipindi alijaribu kukutana nae amrubuni sijui naona ishu ikagonga mwamba ..Ghana na Nigeria ni watu wanaojielewa sana...pia mkuu mfuatilie jamaa anajiita heavyweight dullah mwandishi lakin amejikita kwa ajili ya Simba tu ila anaongea vitu point sana..
Inuka lala chini tambaa ..ukweli ndio huo. Unaweza kumfananisha Micky na Hawa media puppet wengine wanaosema hiviShida yako unapenda kusikia vitu unavyopenda wewe,usivyovipenda hutaki kusikia.
Ukiambiwa ulete uthibitisho kuwa hersi said alitaka kumrubuni Micky unaweza kuthibitisha?
Msimu uanze muanze kelele zenu GSM anaharibu ligi,baadae muanze kelele za mangungu ajihudhuru.Inuka lala chini tambaa ..ukweli ndio huo. Unaweza kumfananisha Micky na Hawa media puppet wengine wanaosema hivi
"Mchezaji anaakaribia kusajiliwa Simba, Simba yatuma ofa, ..
Baada ya dakika 10, yanga yaingilia Dili la Simba, hersi apiga simu na kumaliza kila kitu
Baada ya dakika 15, hatimaye yanga yaipiku Simba dakika za mwisho kumsajili mchezaji hatari aliekua anatakiwa Simba..
🚮🚮🚮🚮🚮🚮