Uanze hata kesho sisi tuna shida Gani ...Simba Haina mbwembwe kwanza Hadi saivi hatujasajili ..naskia mmetuma ofa kuhitaji Saini ya Rodrygo ..mpanzu nae kapewa signing fee ya bilioni 1.3 na mshahara wa 45 million kwa mwezi...Msimu uanze muanze kelele zenu GSM anaharibu ligi,baadae muanze kelele za mangungu ajihudhuru.
Ile release clause ya b2 wataifikia kweli wanaomtaka au Simba waliipunguzaAteba anakaribia kuuzwa na Simba
Kama yanga wameweka dau kubwa kumchukua mpanzu unataka mpunzu asiende yanga kisa unaita kukomoana?Uanze hata kesho sisi tuna shida Gani ...Simba Haina mbwembwe kwanza Hadi saivi hatujasajili ..naskia mmetuma ofa kuhitaji Saini ya Rodrygo ..mpanzu nae kapewa signing fee ya bilioni 1.3 na mshahara wa 45 million kwa mwezi...
wamepunguziwa. Wamemuachia kwa $400,000 ambayo imemsajili SowahIle release clause ya b2 wataifikia kweli wanaomtaka au Simba waliipunguza
Hakuna cha dau hapo mkuu, story nyingine ni changamsha bwege tuKama yanga wameweka dau kubwa kumchukua mpanzu unataka mpunzu asiende yanga kisa unaita kukomoana?
Kaondoka messi, Neymar,mbape mpanzu ni nani? Simba ni baba yake?
Amekuja kutafuta pesa sio mapenzi na timu.
Mwambie Mo aache janja janja
Ngoja tuoneHakuna cha dau hapo mkuu, story nyingine ni changamsha bwege tu
Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.Chini ya kocha mpya fadlu kwa msimu WA kwanza wa project yake timu haijafanya vibaya ukiringanisha na misimu 3 nyuma, kwa msimu wake WA kwanza kacheza fainal kombe shirikisho Africa na kapoteza ubingwa mechi ya mwisho ndo imeamua bingwa
Ndo maana unaona Kuna wachezaji wameachwa ili kuongeza wenyengine wenye ubora
Hizo propaganda za Kwa Simba inamtaka mchezaji furani baada ya muda unaambiwa mchezaji huyo anatakiwa na yanga na wamemsaji,huo mtego mashabiki wa simba wameshaunasua
unajidhalilisha ndugu, Mpanzu bado yupo sana pale bunju kwa mangunguNgoja tuone
Wapi nilipojidhalilisha ? Mkataba hauwezi kuvunjika?unajidhalilisha ndugu, Mpanzu bado yupo sana pale bunju kwa mangungu
Je sowah kauzwa na singida au kaenda kama mchezaji huru?Hakuna cha dau hapo mkuu, story nyingine ni changamsha bwege tu
Nimeshakuambia kua sijakataa ameshasaini huko ..signing fee bilioni 2, mshahara milioni 45..Kuna tatizo au hamtaki tena...si ndio amekuja yanga kutafuta pesa...mpokeeni kesho ...Kama yanga wameweka dau kubwa kumchukua mpanzu unataka mpunzu asiende yanga kisa unaita kukomoana?
Kaondoka messi, Neymar,mbape mpanzu ni nani? Simba ni baba yake?
Amekuja kutafuta pesa sio mapenzi na timu.
Mwambie Mo aache janja janja
Yan mkuu Mimi nasoma sajili za Sasa sehem tatu tu...kwanza official pages za klabu, pili Micky jnr...na tatu ndugu yangu kabisa Hichilema..Hawa ndio hawajanunuliwa na hersi. Kwaio Sasa naamin kweli sowah anakuja Simba.wamepunguziwa. Wamemuachia kwa $400,000 ambayo imemsajili Sowah
Kikosi cha kwanza cha simba wameondoka wangapi?2
Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
Hivyo ni wachezaji wawili wa ulinzi si ndio?Nimezungumzia defense Che na Shabalala, Sir Alex ana msemo wake safu bora ya ushambuliaji inakupa magori, ila safu bora ya defense inakupa ubingwa.
Kwani defense yako msimu uliopita waliokuwa wanaanza wangapi nyuma? Wangapi wametoka wangapi wamebaki?Then compare performances ya waliobaki na walio ondoka.Hivyo ni wachezaji wawili wa ulinzi si ndio?
Nimeuliza boss ni wachezaji wawili wa defence kutoka kikosi cha kwanza wameondoka si ndio?Kwani defense yako msimu uliopita waliokuwa wanaanza wangapi nyuma?