Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Official:
Chama, Aucho, Mkude wapewa thank you Yanga
Naipongeza klabu ya Yanga kwa kukataa kuingia kwenye mtego wa kumpatia Chama mkataba mwingine mnono, huku kwenye msimu wake mmoja alioutumikia kwenye klabu akitumia muda mwingi kutokea benchi.

Ni bora kusajili wachezaji wazuri vijana na wenye msaada kwenye timu.

Kuhusu Aucho, huyu hana deni na timu ya Yanga. Hakika alikuwa ni mhimili kweli kweli pale nyuma.
 
ishu ya Aucho hainatofauti na Zimbwe ila kwakuwa Yanga wanafanya vizuri wamekuwa na luxury ya kufanya watakavyo katika usajili na wasisemwe vibaya. unaacha mchezaji ambae alisimika utawala wake kwenye kikosi cha kwanza ukitarajia makubwa kwa new player ni mchezo hatari sana
 
Hichilema Lassine Kouma dili lake limekaaje naona kama naanza kumwamini felakuti kwamba kuna kamchezo kanafanywa kupitia waandishi pori
Simba will 𝐍𝐎𝐓 sign Claude Niyomugabo from APR FC — the rumours are false. ❌

Also: the club has 𝐍𝐎𝐓 sent any offer for Khadim Diaw of Al Hilal as at now. 🚫

#Transfers
#AfricanFootball

Media journalist pekee ambaye hajanunuliwa na yanga awe chawa.

Tsh Hichilema Ubaya Ubwela
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
2

Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
Nani kutoka kwenye first 11 ya simba zaidi shaba, ngoma na ateba?
 
2

Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
Unaanzaje kusuka defense ambayo wameondoka mabeki wawili na mmoja alikua amesha poteza nafasi kwenye kikosi Cha kwanza

Wameondoka
1- Mohamed Hussein
2-Che Fondoh Malone ambae alikua ameshapoteza nafasi kwenye kikosi Cha kwanza

Waliobaki

1-Hamza
2-Chamou
3-Kapombe
4-Duchu na Kipa pinpin

Ingekua tumeachana na Mabeki wote hapo ndo ulikua na uhalali wa kusema tunaanza kusuka defense upya
 
Hii hela kachukua singida au kachukua yeye binafis?
Hii ni Dili ya ateba kaka...Sasa sijajua ateba ndio kachukua hio ama vipi pia imetumika hio hio kumpata sowah..sasa sjui ni yanga B wamechukua hio ama mchezaji
 
Simba will 𝐍𝐎𝐓 sign Claude Niyomugabo from APR FC — the rumours are false. ❌

Also: the club has 𝐍𝐎𝐓 sent any offer for Khadim Diaw of Al Hilal as at now. 🚫

#Transfers
#AfricanFootball

Media journalist pekee ambaye hajanunuliwa na yanga awe chawa.

Tsh Hichilema Ubaya Ubwela
Wachaaambuziii watasema Simba imetuma ofa ndogo wakazidiwa.
 
Back
Top Bottom