Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Kwa jinsi wachezaji wa wanavyoondoka au kuachwa Simba kwa idadi kubwa naamini ndani ya Simba kuna mtu au watu hawaitakii mema hiyo timu au wana kazi maalum pale. Mpaka wanasimba wenye uchungu na timu yao watakapokuja kustuka watakuwa wamechelewa sana. Mbaya zaidi kuna watu wazima na akili zao kabisa wamejigeuza machawa wamejitoa ufahamu wamekalia kusifia uongozi tu hawataki wakosolewe au waambiwe ukweli wakati timu inaenda shimoni. Watu kama G64, Mzaramo, Shabani Mpira Pesa, Kisugu, Mchungaji wa Simba na wengineo wao kazi yao kutetea tu hata mambo yanayoingamiza Simba.

Ni kweli Simba haikufanya vizuri sana msimu ulioisha lakini haiondoi ukweli kuwa Simba ilikuwa imara kwa kiasi fulani. Kilichohitajika kwa dirisha hili ni kuongeza wachezaji wapya kati ya 5 - 8 ili kujiimarisha zaidi. Inapotokea mpaka wachezaji wa 1st eleven wanaachwa au kuamua kuondoka wenyewe hapo ndio sintofahamu inapokuja. Kwa maana nyingine Simba inaenda kuanza kutengeneza timu mwaka huu. Inawezekena kitendo cha kutengeneza timu kila mwaka kuna viongozi ambao wanafaidika ndio maana viongozi hawashtuki wachezaji wengi kuondoka ndani ya msimu mmoja.

Ni mtizamo tu.
Ungetupa na mifano mkuu
 
Wapi nimesema hao wachezaji wote 5-8 wawe wa nje. Mkuu hao ni jumla wa ndani na wa nje. Usajili wa msimu uliopita ni mkubwa na taratibu timu ilianza kuimarika. Kwa mfano mdogo tu Nouma anaondokaje huku unajua Zimbwe anamaliza mkataba? Hauoni kuna uwezekano wa kuwa na wachezaji wapya kabisa mbavu ya kushoto kitu ambacho ni hatari sana.
Mbona wachezaji wa ndani na WA nje walioachwa wanastahili kuachwa

Kumbuka kocha alisema timu Haina wachezaji wenye ubora anataka uongozi umletee wachezaji wenye ubora na kuwaacha wasio Bora,hii pia ni kwa mujibu wa ripoti ya kocha na pendekezo la kocha nani aachwe na nani asiachwe


Wa nje

Nouma
Ngoma
Okajepha

Wa ndani

Kijili
Huselsein Kazi
Omary Omary
Manula


Yani hao ndo unalalamika kwa kuachwa kwao?
 
Mbona wachezaji wa ndani na WA nje walioachwa wanastahili kuachwa

Kumbuka kocha alisema timu Haina wachezaji wenye ubora anataka uongozi umletee wachezaji wenye ubora na kuwaacha wasio Bora,hii pia ni kwa mujibu wa ripoti ya kocha na pendekezo la kocha nani aachwe na nani asiachwe


Wa nje

Nouma
Ngoma
Okajepha

Wa ndani

Kijili
Huselsein Kazi
Omary Omary
Manula


Yani hao ndo unalalamika kwa kuachwa kwao?
Panga lililopita hakuna kosa kabisa mkuu...watu tu Wana mihemko...kama Simba ndio staili yetu hii basi tuende nayo hivyo hivyo tuone
 
Baada ya msimu Mmoja TU Wamemtema, Tanzania uwa tuwapa Hawa wajinga time na wakishajipata wananza kuleta dharau
IMG-20250715-WA0026.jpg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.View attachment 3407335
Aviola FC
Miso Misondo FC
Ngungu Boy FC
 
Back
Top Bottom