Na anazidi hiyo 35.Nimeangalia mtandaoni wanasema ana 28, ila yule sizani kama anakosa 35.
Na anazidi hiyo 35.Nimeangalia mtandaoni wanasema ana 28, ila yule sizani kama anakosa 35.
Kama taarifa rasmi zinasema ana 28 basi ana 28 mpaka pale taarifa rasmi mbadala itakapotengua.Nimeangalia mtandaoni wanasema ana 28, ila yule sizani kama anakosa 35.
Kwa nyaraka zipi ulizotumia boss?Na anazidi hiyo 35.
Sahau watu wa maana kwa viongozi mbumbumbu wa soka wanaoshikilia mpini..Ngoja tuone, maana kwa hzo THANK YOU huenda tayari wameshasajiri watu wa maana zaid ya hao wanao ondoka
Yan shughuli n Pevu, maana sioni dalili yoyote ya viongozi wa simba kuachia ngazi pale juu.Sahau watu wa maana kwa viongozi mbumbumbu wa soka wanaoshikilia mpini..
Zimbwe ni Babu mara ya kwanza kumuona Nilikua darasa la 5 kwasasa nmemaliza Hadi chuo yeye bado anamiaka 28 tuNimeangalia mtandaoni wanasema ana 28, ila yule sizani kama anakosa 35.
Wakimtoa huyu watapata wapi No.9?Keep an eye on Steven Mukwala
ila nahisi wachezaj wengi huwa wana sign 1 year contract, 😳Keep an eye on Steven Mukwala
Anaelekea wapi?Kibu Denis 👋
Yule gasho msema ovyo wao uwa anawapanga ili wakajae kwenye makolo dayNa hiki kipindi cha usajili ndio kinakuwaga kipindi chao cha furaha kabla ligi haijaanza.
Hivi na baba yako mzazi ...mzee flani ..embu mueweke kwenye akili yako sasahivi, na jinsi alivyokupambania wewe na wengine kwenye familia akisaidiana na mama yako, fikiria Sasa akiitwa SHOGA yaani GAY kwamba anaingiliwa nyuma ya maumbile na wanaume ama wazee wenzake,,, utajiskia freshi eeeh.?!Yule gasho msema ovyo wao uwa anawapanga ili wakajae kwenye makolo day
Aondoke tu...mastermind michezo yake haiwez kufua dafu...akatafute timu nyingineKibu Denis 👋
Huyu mkandaji kipenzi chenu kiboko wa Diara leo mnamkataa?Aondoke tu...mastermind michezo yake haiwez kufua dafu...akatafute timu nyingine