Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ili Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:

(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.

Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
Ushauri mzuri sana, lakini je Bonge la Dada atauelewaa?
 
Rasmi sasa
FB_IMG_1752397458982.jpg
 
"Simba wamekamilisha usajili wa beki wa kati wa JKT na timu ya taifa ya Tanzania, Wilson Nangu (23)

Nangu amesaini miaka miwili na Simba hivyo msimu ujao atavaa jezi nyekundu.

Nangu anaweza kucheza kama Beki wa kati (center back) na beki wa pembeni wa kushoto (Leftback).

Yes! Wilson Nangu is now Red".

Ameandika Mchambuzi Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram
 
Back
Top Bottom