Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mashabiki oya oya Bado wapo wapo ambao wanaweza kushangilia kuambiwa anakuja straika anachana Hadi nyavu...ila naona wakiendelea kupungua kadri miaka inavyokwenda na sayans na teknolojia inavyozidi kukua....nakuambia kutuliza hii watafanya usajili wa kisiasa anaweza kununuliwa Feisal nakuambia...
Sidhani kama watamweza Feisal,kamati ya Simba ya usajili inatakiwa ivunjwe kuwe na mtu mmoja akifeli lawama apewe yeye ni rahisi kumwondoa kuliko watu wengi wa 10%
 
"Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu."

Ahmed Ally, Afisa Habari Simba SC
 
FB_IMG_1752337658894.jpg
 
Yanga wamemsajili Mohamed doumbia, jamaa ana mwaka Hana timu yoyote .... Hapa hatujapigwa kweli?
Alikuwa na mgogoro wa mkataba na timu yake ulaya, sasa akashidwa cheza timu nyingine coz still alikuwa na mgogoro.
Mkataba wake uliisha mwezi wa 6 mwanzoni mwaka huu.
 
Alikuwa na mgogoro wa mkataba na timu yake ulaya, sasa akashidwa cheza timu nyingine coz still alikuwa na mgogoro.
Mkataba wake uliisha mwezi wa 6 mwanzoni mwaka huu.
Mgogoro hauwezi kumuweka mchezaji mwaka mmoja nje, kama haujatatuliwa mchezaji anaruhusiwa kutafuta timu acheze kwa muda wakati suala lake linafanyiwa ufumbuzi
 
Back
Top Bottom