1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
mashabiki tunaendelea kujitambua, shukrani kwa kulitambua hilo,Simba inakatisha tamaa,Azam ingekuwa inafanya vizuri ningeshabikia Azam kupoteza machungu,huu usajili unaonyesha tu simba bado sana hata msimu ujao.
ni vile wao wanaingiza pesa ndio maana machungu hawayapati kama sie,
ila pale watakapoanza kupata Hasara ndio akili zitawarudi.
kwa sasa yetu macho tu,, itafika hatua hata kwenda uwanjan tutaacha au simba day wakaenda wachache,,
hapa kikubwa tusiweke matarajio makubwa ili tusiumie zaidi.