Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Record Man mkuu unashangaa ?
Unafikiri wachezaji hawapo? Wapo, hii wahusika kujitia ujuaji , wenye wachezaji huko afrika tena wengine bei ya Kawaida kabisa wanakuangalia tu na dharau zako. ..watu wapo, sema tatizo mdomo...greedy, selfishness na uwezo wa kujieleza ama kuongea ...
Hata Bure mchezaj unaweza kupewa sema ndio ujuaji acha wahesabu magari ya watu mjini mamaeh.
 
Hapa Simba viongozi wake hawana uwezo wa kushawishi kabisa.
Na msemaji mwenyewe yule uongeaji mwingi.
 
🤣🤣🤣🤣 Umeongea ukweli mtupu.
Simu moja tuu mbususu inajileta yenyewe...apate chumba pale ramada nakwambia mwanza ni mwendo wakujifotoa tuu huyo mrembo.
Unaishenyenta mbususu alafu u ampa$200 akijipoze nyumbani. Lazima simu apige mwenyeww ata kama una kibamia
😂😂😂😂 Anakuambia hii hii inanitosha sitaki mihogo niipeleke wapi ...kila saa simu za I miss you...mamaeh ..chezea kuchenyetwa juu gorofani kwenye full AC
 
Copa
Joshua Budo mutale SGR.
Is here to stay.
Viongozi wamekubaliana apewe muda.

Simba ina viongozi vichaa
Mpaka sasa huyo conte sijui inasemekana utopolo wamemchukua kbs.
Kisa kutaka kulipa pesa kwa hawamu.
Waarabu wamegoma.
Huyu sijui mchezaji wangapi sijui.
Kuna
-Ecua
-Yule beki kutoka Zanzibar
-na inasemekana na conte tayari.
 
Mchambuzi wa soka Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kuwa Mohamed Hussein amesaini Yanga

Salamba amethibitisha kwa kuandika ✍🏿

"ZIMBWE KAAMUA KUYAFATA MAKOMBE.

Haikuwa rahisi kwa mchezaji kuitumikia timu aliyokuwa pindi alipokutana na timu anayoishabikia,

Haikuwa rahisi kwa mchezaji kuachana na timu ambayo yeye ndio nahodha na kwenda timu ambayo ni ngumu kupata unahodha mbele ya kapteni Beka na mwenzie Job,

Haikuwa rahisi kwa Yanga kumchukua mchezaji tegemeo kwenye safu ya ulinzi pale Msimbazi,

Ila pongezi za dhati kwa wakala wa mchezaji, ambae ndiye wakala wa Beka Mwamnyeto na Kibu Denis, kwa kulifanikisha dili hili,

Pongezi za dhati kwa INJINIA na GSM kwa kuhakikisha ndoto ya mwanayanga mwenzako 'Zimbwe Jr' kujiunga na klabu ya ndoto zake,
 
Simba vipi mlishapata centre back wa ukweli? Maana pale central defense kwa kweli kwa champions league hapana hamna watu
 
Hapa Simba viongozi wake hawana uwezo wa kushawishi kabisa.
Na msemaji mwenyewe yule uongeaji mwingi.
Brother kwenye maisha ukishajifanya mjuaji wadau wanakucheki tu kwa mbaali...wewe unafikiri kwa mtu kama hersi...alimjuaje mayele? Watu wapo wenye sifa kama za hersi na zaidi ila ndio acha Ile mafia cartel wajilie pesa za mo...amgetokea mtu aina ya Kama hersi pale Simba akawa kitu kimoja na mo nakuambia Simba ingekua tishio zaidi ya hapa...Yani wawe wawili tu...kama gsm na hersi ..
 
Mchambuzi wa soka Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kuwa Mohamed Hussein amesaini Yanga

Salamba amethibitisha kwa kuandika ✍🏿

"ZIMBWE KAAMUA KUYAFATA MAKOMBE.

Haikuwa rahisi kwa mchezaji kuitumikia timu aliyokuwa pindi alipokutana na timu anayoishabikia,

Haikuwa rahisi kwa mchezaji kuachana na timu ambayo yeye ndio nahodha na kwenda timu ambayo ni ngumu kupata unahodha mbele ya kapteni Beka na mwenzie Job,

Haikuwa rahisi kwa Yanga kumchukua mchezaji tegemeo kwenye safu ya ulinzi pale Msimbazi,

Ila pongezi za dhati kwa wakala wa mchezaji, ambae ndiye wakala wa Beka Mwamnyeto na Kibu Denis, kwa kulifanikisha dili hili,

Pongezi za dhati kwa INJINIA na GSM kwa kuhakikisha ndoto ya mwanayanga mwenzako 'Zimbwe Jr' kujiunga na klabu ya ndoto zake,
Nasema hiviiiii...acha Simba tucheze kwasakwasa....
 
M15 ni mnyama dam dam acha hizo mambo. Haiwezekani
 
Sawa Dominick Salama tumekuelewa
 
Topolo zomba zomba.
 
Simba inakatisha tamaa,Azam ingekuwa inafanya vizuri ningeshabikia Azam kupoteza machungu,huu usajili unaonyesha tu simba bado sana hata msimu ujao.
 
Brother kwenye maisha ukishajifanya mjuaji wadau wanakucheki tu kwa mbaali...wewe unafikiri kwa mtu kama hersi...alimjuaje mayele? Watu wapo wenye sifa kama za hersi na zaidi ila ndio acha Ile mafia cartel wajilie pesa za mo...amgetokea mtu aina ya Kama hersi pale Simba akawa kitu kimoja na mo nakuambia Simba ingekua tishio zaidi ya hapa...Yani wawe wawili tu...kama gsm na hersi ..
Nafikili system ya uongozi wa simba ndo shida.
Kuna uongozi wa aina mbili sehemu Moja wa mo ( mwekezaji ) na wanachama (mangungu) Kila upande una interest zake. Na Kila upande wanataka kusajili.
Tofauti na yanga ni uongozi mmoja tuu.
 
Back
Top Bottom