Barcola kuchukuwa nafasi ya mpanzu pale simbaMessi to Namungo
Barcola kuchukuwa nafasi ya mpanzu pale simbaMessi to Namungo
Timu ilishajengwa mwaka 1936,hizo zingine ni kuhadaa mashabiki,hamna kombe hata 1 hata ya ligi kuu mnaficha madhaifu ya timu kwenye kujenga timu,unajengaje timu wakati usajili ni wa kijinga misimu mitatu mfululizoBado una sound kijinga kijinga TU, punguza mihemko hao Singida na Azam wamefika wapi sasa
Msimu uliopita tulikubaliana tunajenga timu, msimu huo huo wa kwanza kwa ujenzi wa time Simba kacheza fainal kombe la shirikisho Africa na kapoteza ubingwa kwenye mechi ya mwisho ya ligi kuu, punguza mihemko hakuna timu inajengwa kwa msimu mmoja
Huwezi kusajiri wachezaji wote wazuri kwa msimu mmoja, hao Azam na Singida unaowasifia sajiri kibao tu zinabuma magarasa kibao wanayasajili na kutatema Kila Leo
Hii kweli mkuu, maana kocha kipenzi chake ni ateba, lkn still anaonekana mukwala ndio mzuri kuliko atebaWalijua atakuwa na uwezo mkubwa Kama Mayele.
Hata ateba Amesajiliwa Mwishoni kabisa baada ya kocha kutoridhishwa na Uwezo wa Mkwala (Simba walitaka mchezaji mmoja tu wa kigeni kwenye safu ya Ushambuoiaji.
Analipwa Dola 9000
Naweka privacy Shiringi.
Joshua Budo mutale SGR.Kuna mcheazji alitambulishwa kuwa ni SGR; aliishia wapi?
Umekosea jukwaa bibi.Duru zibasemaje kuhusu kichapo cha sku 12 mfululizo walichochexea mazayuni?
Yupo sana na wenyewe wanakwambia haachwi eti ni mali ile.Kuna mcheazji alitambulishwa kuwa ni SGR; aliishia wapi?
Mkuu hivi anayefanya usajili pale Simba ni nani kwa sasa hivi. Aliye karibu amshtue kuwa mwaka huu ni bora kusajili wachezaji wanne tu bei mbaya ambao wataleta "impact" kubwa kwenye timu kuliko hii sagula sagula inayoendelea ya kuleta walioshindwa kama huyo Mofosse. Azam, Singida, Yanga wanafunga "booster" huko wao makolo wanaishia kupoint tu wachezaji kwa vidole halafu wanasajiliwa na timu nyingine.Mofosse Karidioula anatakiwa na Simba
Tuna Budo usiwe na wasiwasi fanya mambo mengine, kila kitu kipo sawa.Mkuu hivi anayefanya usajili pale Simba ni nani kwa sasa hivi. Aliye karibu amshtue kuwa mwaka huu ni bora kusajili wachezaji wanne tu bei mbaya ambao wataleta "impact" kubwa kwenye timu kuliko hii sagula sagula inayoendelea ya kuleta walioshindwa kama huyo Mofosse. Azam, Singida, Yanga wanafunga "booster" huko wao makolo wanaishia kupoint tu wachezaji kwa vidole halafu wanasajiliwa na timu nyingine.
Nilisema juzi hapa na leo ninarudia hakuna timu hapa Tanzania yenye kujua kutafuta na kufanya mazungumzo na wachezaji wazuri kama Simba lakini mwisho wa siku wanasajiliwa na timu nyingine na hata wakati mwingine mahasimu wao. Yaani Simba ya sasa hivi ni kama Arsenal ya Mzee Wenger inascout wachezaji vizuri sana wakitajiwa bei wanakimbia wenzao wanabeba. Stori imeendelea tena mwaka huu mpaka sasa Nouh El Abd , Ecua, Badamasi wameshasajiliwa na timu nyingine na sasa habari ya mujini tunasikia tena Balla Conte naye kashamalizana huko.
Mtu ana kitambi kabisa unampanga mbele ya mutale ..dah..Hii kweli mkuu, maana kocha kipenzi chake ni ateba, lkn still anaonekana mukwala ndio mzuri kuliko ateba
insider mb zipo, usajili umekuwa wa kubahatisha sana, kati ya sajili 10 ni 2 au 3 zinakaribia kilo tulichoaminishwa kipindi kama hiki,,Usajili wa kishindo unakuja. Ni mb zako tu
Pale wasipotoka wapigaji wanaojulikana itakua hivyo hivyo miaka nenda Rudi...Bora hata magori amejitahid nafas yake...huyo mjinga mwingine aliepewa kusajili ndio sajili zake za akina sawadogo..ngoja kwanza kelele za wanachama ziwe nyingiViongozi wa Simba ni sikio la kufa...
Simba kuna Upumbavu mwingi sana.Mkuu hivi anayefanya usajili pale Simba ni nani kwa sasa hivi. Aliye karibu amshtue kuwa mwaka huu ni bora kusajili wachezaji wanne tu bei mbaya ambao wataleta "impact" kubwa kwenye timu kuliko hii sagula sagula inayoendelea ya kuleta walioshindwa kama huyo Mofosse. Azam, Singida, Yanga wanafunga "booster" huko wao makolo wanaishia kupoint tu wachezaji kwa vidole halafu wanasajiliwa na timu nyingine.
Nilisema juzi hapa na leo ninarudia hakuna timu hapa Tanzania yenye kujua kutafuta na kufanya mazungumzo na wachezaji wazuri kama Simba lakini mwisho wa siku wanasajiliwa na timu nyingine na hata wakati mwingine mahasimu wao. Yaani Simba ya sasa hivi ni kama Arsenal ya Mzee Wenger inascout wachezaji vizuri sana wakitajiwa bei wanakimbia wenzao wanabeba. Stori imeendelea tena mwaka huu mpaka sasa Nouh El Abd , Ecua, Badamasi wameshasajiliwa na timu nyingine na sasa habari ya mujini tunasikia tena Balla Conte naye kashamalizana huko.
Aisee! Wakunyang'anye simuDuru zibasemaje kuhusu kichapo cha sku 12 mfululizo walichochexea mazayuni?