Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Kapombe ni mmoja ya wachezaji waliofanya vizuri msimu huu, hapo Cha muhimu ni kutafuta beki mbili wa kuja ku mchallengeKibu Aaah haachwi Panga pangua na Shomari Kapombe
Kapombe ni mmoja ya wachezaji waliofanya vizuri msimu huu, hapo Cha muhimu ni kutafuta beki mbili wa kuja ku mchallengeKibu Aaah haachwi Panga pangua na Shomari Kapombe
Sasa hapa si itakuwa timu inatengenezwa upyaSIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.
4. Mzamiru yasin.
Kibu Aaah haachwi Panga pangua na Shomari Kapombe
Mkuu Chamouh kinachombakisha nini?mzito sana hana kasiSIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.
4. Mzamiru yasin.
5 . Hussen kazi.
Kwani familia aliiacha Marekani?Kibu anahaha na wakala wake Carlos Marekani kutafuta Timu ili kibu akae karibu na Familia yake.
Bado ana mkataba na Simba
Uko sahihi Mkuu.Hapa Mukwala angebaki, yasijetokea Yale ya phiri na baleke wote wakaondoka kwa wakati mmoja na kulete washambuliaji wapya fredy na Jobe
Watafute mshambuliaji mmoja wa maana aje asaidiane na Mukwala
Kwani familia aliiacha Marekani?Kibu anahaha na wakala wake Carlos Marekani kutafuta Timu ili kibu akae karibu na Familia yake.
Bado ana mkataba na Simba
Kapombe huyu huyu anaewadindikiza kina Mzize wakafunge?Kapombe ni mmoja ya wachezaji waliofanya vizuri msimu huu, hapo Cha muhimu ni kutafuta beki mbili wa kuja ku mchallenge
Yule ni stoper Mkuu sema hajapata Beki mzuri wa kusaidiana nae Beki 5 kama Inonga.Mkuu Chamouh kinachombakisha nini?mzito sana hana kasi
Simba walikosea kwenye mshahara tu wangemlipa Mukwala sawasawa na hadhi yake wala isingekua tabu! Mchezaji mnamtoa Asante Kotoko mnakuja kumlipa Pesa mingi na matarajio makubwa lazima iume.. Hao wanaotolewaga Asec tuUko sahihi Mkuu.
Ila analipwa hela Nyingi sana mshahara wake mrefu sana.
Simba walimtegemea mno amewàngusha pakubwa.
Duuh kwahiyo Hussein, Kapombe, Malone na Chamou bado wanabaki, halafu Mukwala na Ahoua hawatakiwi kuondoka bali wanatakiwa watafutiwe wenzao wa kusaidiana nao, yani hadi sasa kwa list niliyosikia ya wachezaji wanaoondoka na wanaobaki basi inaonesha simba bado hawako tayari kwa kombe loloteSIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.
4. Mzamiru yasin.
5 . Hussen kazi.
Walijua atakuwa na uwezo mkubwa Kama Mayele.Simba walikosea kwenye mshahara tu wangemlipa Mukwala sawasawa na hadhi yake wala isingekua tabu! Mchezaji mnamtoa Asante Kotoko mnakuja kumlipa Pesa mingi na matarajio makubwa lazima iume.. Hao wanaotolewaga Asec tu
Usimjibu huyo bwana kaongea ukweli ndugu..Viongozi wa Simba ni wa hovyo.Una sound kama fala
We unajua mipango yote ya usajili wa hizo timu?
1. Ok.Hussein kazi anaondoka nadhani Namungo Fc.Duuh kwahiyo Hussein, Kapombe, Malone na Chamou bado wanabaki, halafu Mukwala na Ahoua hawatakiwi kuondoka bali wanatakiwa watafutiwe wenzao wa kusaidiana nao, yani hadi sasa kwa list niliyosikia ya wachezaji wanaoondoka na wanaobaki basi inaonesha simba bado hawako tayari kwa kombe lolote
Sahihi kabisa...Na so far si sahihi ku conclude kwamba Mukwala kafeli maana ameonyesha ana kitu.Hapa Mukwala angebaki, yasijetokea Yale ya phiri na baleke wote wakaondoka kwa wakati mmoja na kulete washambuliaji wapya fredy na Jobe
Watafute mshambuliaji mmoja wa maana aje asaidiane na Mukwala
Na wazee wa 10% wale wapi? Hapa ndio pesa ya MO inapopigwa. Aliye karibu na MO amshtue afanye kama GSM hakuna haja ya kamati ya usajili wamefeli vibaya sana hii miaka miwili/mitatu iliyopita. Atafute mtu mmoja tu anayemuamini ampe kazi ya usajili ili ukiwa mzuri asifiwe na akiboronge alaumiwe huyo mtu. Sasa hivi kwenye usajili wa Simba unamlaumu nani kama nani zaidi ya wajanja kujificha kwenye kichaka cha kamati.Simba walikosea kwenye mshahara tu wangemlipa Mukwala sawasawa na hadhi yake wala isingekua tabu! Mchezaji mnamtoa Asante Kotoko mnakuja kumlipa Pesa mingi na matarajio makubwa lazima iume.. Hao wanaotolewaga Asec tu
Amewaamgushaje wakati kocha alikuwa anampanga zaidi mbeba vyuma ateba mbida ....Uko sahihi Mkuu.
Ila analipwa hela Nyingi sana mshahara wake mrefu sana. Analipwa Dola 9000 kwa mwezi.
Simba walimtegemea mno amewàngusha pakubwa.
Hapo ndipo nnapoanza kuona madai ya Wana simba yana mashikoWalijua atakuwa na uwezo mkubwa Kama Mayele.
Hata ateba Amesajiliwa Mwishoni kabisa baada ya kocha kutoridhishwa na Uwezo wa Mkwala (Simba walitaka mchezaji mmoja tu wa kigeni kwenye safu ya Ushambuoiaji.
Analipwa Dola 9000
Naweka privacy Shiringi.
Akifanya hivyo ndonataonekana anajimilikisha timu kabisa! Nilichogundua Uongozi Mo/Mangungu na wanachama /Mashabiki hawaongei lugha moja!Na wazee wa 10% wale wapi? Hapa ndio pesa ya MO inapopigwa. Aliye karibu na MO amshtue afanye kama GSM hakuna haja ya kamati ya usajili wamefeli vibaya sana hii miaka miwili/mitatu iliyopita. Atafute mtu mmoja tu anayemuamini ampe kazi ya usajili ili ukiwa mzuri asifiwe na akiboronge alaumiwe huyo mtu. Sasa hivi kwenye usajili wa Simba unamlaumu nani kama nani zaidi ya wajanja kujificha kwenye kichaka cha kamati.