Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hivi wakuu, ni nani alieanzisha ule mfumo wa Simba sc kucheza Kwa kurudisha mpira nyuma, ni kocha, wachezaji au viongozi (falsafa)???

Ni mfumo wa kisen*e sana mam*e
Ule ni mfumo (Chepassback) uchawi wa Che malone Fondo, toka amekuja hajui kwenda mbele yeye akipata mpira, hajui kingine zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa.
 
Mpaka sasa hadi kwenye usajili Simba wanaonekana failure,Azam ,Yanga,Big Stars wanapambana, kamati ya usajili ya Simba ni mazumbekuku
Una sound kama fala

We unajua mipango yote ya usajili wa hizo timu?
 
Hivi wakuu, ni nani alieanzisha ule mfumo wa Simba sc kucheza Kwa kurudisha mpira nyuma, ni kocha, wachezaji au viongozi (falsafa)???

Ni mfumo wa kisen*e sana mam*e
Viongozi wanahusikaje kwenye mifumo ya timu kucheza uwanjani?
 
Una sound kama fala

We unajua mipango yote ya usajili wa hizo timu?
Tatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujinga
 
Kama nilivyoripoti awali sasa ni rasmi
FB_IMG_1752092175288.jpg
 
Tatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujinga
Bado una sound kijinga kijinga TU, punguza mihemko hao Singida na Azam wamefika wapi sasa

Msimu uliopita tulikubaliana tunajenga timu, msimu huo huo wa kwanza kwa ujenzi wa time Simba kacheza fainal kombe la shirikisho Africa na kapoteza ubingwa kwenye mechi ya mwisho ya ligi kuu, punguza mihemko hakuna timu inajengwa kwa msimu mmoja

Huwezi kusajiri wachezaji wote wazuri kwa msimu mmoja, hao Azam na Singida unaowasifia sajiri kibao tu zinabuma magarasa kibao wanayasajili na kutatema Kila Leo
 
SIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.

1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0

WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3. Edwin Barua.
4. Mzamiru yasin.
5 . Hussen kazi.
6. Omar omar
 
Kibu Aaah haachwi Panga pangua na Shomari Kapombe
SIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.

1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0

WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3.omari omari.

Hapa Mukwala angebaki, yasijetokea Yale ya phiri na baleke wote wakaondoka kwa wakati mmoja na kulete washambuliaji wapya fredy na Jobe

Watafute mshambuliaji mmoja wa maana aje asaidiane na Mukwala
 
Back
Top Bottom