- Thread starter
- #181
Swali lako gumu ila rahisizote
Swali lako gumu ila rahisizote
Kwa nini umesema hivo.Swali lako gumu ila rahisi
Haiwezi kutokea, hahitajiki tena msimbaziZa ndaaaaaani kabisa...
Chama anarudi Simba.
ConfirmedIbenge to Azam FC
ThanksConfirmed
Kwamba hao wote uliowataja na kama wana ubora huo unaotaka waulete Simba hawana mikataba huko waliko? Unadhani ni kujichukulia tu?Wewe Hichilema waambie mabosi huko , wawaangalie Hawa wachezaji na wawasajili ikiwezekana, tofaut na hapo tutaendelea kuhesabu magari mjini , waambie waliopewa dhamana kusaka wachezaji waache usanii na waache kutafuta wachezaji wakiwa ofisini, waache kusajili wachezaji kwa mihemko, mo anajitahid sana na ni kweli ana mapenzi makubwa na Simba ila wasitumie hio kama jambo flan la kufanya Bora liende ...
Anyway,
mshambuliaji
Frank Mbella
Mabeki makatili
Kouakou Koffi ( mguu wa kushoto adimu sana wanaoutumia mguu wa left ) /Abdul Razak fiston/Mohamed Camara / Mohamed konate (right back )
Viungo
Lazare Amani / Gustave Anamu / Prince Soussou ( play maker ) / Alhassan Sylla ( defensive mid)
Moussa Guel (right wing)
Mamadou Koulibaly ( left wing )
MAKIPA
Pape Mamadou Sy
Ali Cisse ( kama unataka mchezaj wa 12 uwanjani )
Mchezaji wa Tanzania hapo wa kumsajili japo ni ngumu kumesa ni Feisal Tu. Kwisha.
NITARUDI HAPA SIMBA DAY nione kama viongozi hua wanachukulia vitu serious ama ndio Bora liende.
NIMEMALIZA.
HeeStephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe
Usikute bibie kamroga warudi BongoHee
Sasa ataenda wapi jamani Shem wetu
🚮 Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo.Usikute bibie kamroga warudi Bongo
Hivi unavyowaona Uto kwa sasa na Mnyama, ubingwa wa ndani unawatosha?! Huko CAF huwa wanajikongoja kwenye CAF Conf, na mara nyingi huwa wanaishia Robo ukiondoa mwaka juzi ndipo walifika Nusu, na msimu wa 2023/24 ambao walifika Robo ya CAF Champions mbele ya Wydad mbovu na Mnyama aliyekuwa anajikongoja!Mbona Asec wanabeba makombe ya kwao kila mwaka? Na kila mwaka wapi champions league au confederation cup kwa hatua za juu?
Siyo kidogowydad mbona waswahili 😆,
Nikikwambia nazipataje Kuna watu Simba, Azam na Singida watafukuzwa kazi kwa usalitiKwa nini umesema hivo.
Anarudi YangaHee
Sasa ataenda wapi jamani Shem wetu
Ila Hamisa unajitahidi kumtetea mmeo[emoji706][emoji706] Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo.
Words coming from fuckingh dirty mouth low life level piece of crap. Go to my ignored list you big and black baboon.Ila Hamisa unajitahidi kumtetea mmeo[emoji706]
Mkuu huyu ametoka wapi na anacheza nafasi gani...na vp uwezo wake???Celestine Ecua ni mwananchi
NO REFORMS, NO ELECTION.1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto)
2. Mourice Abraham ni mnyama
3. Thank you Augustine Okejepha
4. Thank you Kouass Yao
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude
9. Kama Simba itampata winga mwingine, basi itaachana na Joshua Mutale
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC
12. Thank you Fabrice Ngoma
13. Thank you Omary Omary
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata Kadim Diaw
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga. Anahusishwa na Singida BS na Azam
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika
24. Higino Kapitango anatakiwa na Simba
25. Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd
26. Kiungo Mkabaji kutoka Mlandege, Abdulnassir Mohamed amesaini Yanga
27. Ahmed Bakari Pipino wa KMC anawindwa Vikali na Azam Fc na Yanga
28. Himid Mao Mkami anatarajiwa kurejea Azam FC
29. Muhsin Malima anaelekea Azam
30. Miguel Gamondi anaelekea Singida Black Stars
31. Malanga Horso Mwaku, anatakiwa na Yanga
32. Stephane Aziz Ki, hajawafurahisha mabosi wa Wydad, mkataba wa mkopo wa miezi miwili unaweza usiongezwe
33. Khaled Ben Yahia anaweza kuwa kocha mpya wa Yanga kama mambo hayatabadilika
34. Celestine Ecua ni mwananchi
35. Julien Chavenier naye anaweza kuwa kocha wa Young Africans