Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Rasmi
FB_IMG_1751723758406.jpg
 
Katoka Asec japo alikuwepo kwa mkopo. Ni MVp wa ligi ya Ivory Coast, goli 15 assist 12
Mkuu mbona kama hakuna chanzo chochote kinachothibitisha kuwa huyo Ecua ni Mvp wa ligi ya Ivory Coast?
Na hata hayo magoli hayaonekani kuyapata kwa idadi hiyo, maana wafungaji bora tu wameishia goli 14 na yeye Ecua hayupo kwenye list ya ufungaji bora. Au hayo magoli ni tokea kwenye timu yake ya Zoman FC?
 
Kwa takwinu namuona ni striker wa kawaida
Ana goals 15 mashindano yote kuanzia ligi, fa, CAFCC n k
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mkuu mbona kama hakuna chanzo chochote kinachothibitisha kuwa huyo Ecua ni Mvp wa ligi ya Ivory Coast?
Na hata hayo magoli hayaonekani kuyapata kwa idadi hiyo, maana wafungaji bora tu wameishia goli 14 na yeye Ecua hayupo kwenye list ya ufungaji bora. Au hayo magoli ni tokea kwenye timu yake ya Zoman FC?
Angalia vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom