Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na hapo ndipo unadhidi kujiainisha kuwa wewe ni shabiki wa Simba maana ni asili ya kujizima data. Yanga si alimtoa huyo Marumo uliyemsifia kisha akacheza hadi fainali? Halafu makombe yote ya ndani akabeba na akaendelea kubeba.
Huu uzi ulikuja baada ya fainali mkuu
 
Huyu akija tukae nae hata miaka 10 kama Asec tatizo warabu macho yao yapo yanga
Kila kocha wa Yanga wanamuona ni mali
Waarabu ni kama mteja wa bar, kila siku pale yanga bar anachukua baamedi mpya,
hatak used, kwa hiyo ndio biashara yenyewe hiyo, mkileta wao wana beba,
 
Waarabu ni kama mteja wa bar, kila siku pale yanga bar anachukua baamedi mpya,
hatak used, kwa hiyo ndio biashara yenyewe hiyo, mkileta wao wana beba,
Huyu anayekuja yeye ni mtu wa mipango ya muda mrefu ni mzalishaji wa vipaji sio muibuaji na huwa hana mihemko
 
Back
Top Bottom