Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Dirisha hili sikuwa hata na mpango kuweka uzi wa tetesi nikisubiri pengine na mwingine atuletee, wadau wengi walinisihi ikabidi niwatii.
Wengine wakafika mbali kusema mshikaji ni kolo hivyo anaugulia maumivu ya kukosa kombe. This time around Azam na Yanga siwaachi kwa kila mpango wao wa usajili, Singida pia.
Siyo kwamba sifahamu mipango ya timu ndogo, nadhani wanajamvi hawana interest nazo sana.
Pole sana mkuu, kuitwa kolo au uto ni kawaida tu hapa jukwaani. Utani hatuwezi kuukwepa. Tupe updates tukamuania saana eneo hili hapa jamvini.
 
Hichilema ya kweli haya kwamba Simba wamesajili mchezaji ambaye michezo 16 gol moja na mwaka mzima badae hajacheza kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20250707-192619.png
    Screenshot_20250707-192619.png
    782.8 KB · Views: 23
Nipo hapa kuyasema mazuri ya mama yetu mpendwa Samia mitano tena
Hatua kubwa zimepigwa chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia! Hakika 2025 ni historia ya mafanikio! [emoji1430]
 
Back
Top Bottom