Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,556
- 7,398
Unapigwa pipeNipo hapa kuyasema mazuri ya mama yetu mpendwa Samia mitano tena
Hatua kubwa zimepigwa chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia! Hakika 2025 ni historia ya mafanikio! [emoji1430]
Unapigwa pipeNipo hapa kuyasema mazuri ya mama yetu mpendwa Samia mitano tena
Hatua kubwa zimepigwa chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia! Hakika 2025 ni historia ya mafanikio! [emoji1430]
Inasemekana ashamalizana na Yanga!Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
Kwani Aziz ki ni wa Afrika masharikiSio kweli! Ukweli ni kwamba bado timu zetu hazijafika level ya juu ya physical fitness! Uto wanajitahidi sana lakini bado hawajafikia level za fitness za wachezaji wa Afrika Kaskazini.
Mkuu ulema tayari kaishamalizana na Yanga, vipi tena?Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
Hapa unatuchanganya unaposema Simba wameingilia tenaCelestine Ecua ni mwananchi
Binafsi namuelewa, Tetesi huwa si 100%.Hapa unatuchanganya unaposema Simba wameingilia tena
Hapa ndipo Simba huwa wanafeli. Usajili wa kutumia kitu kinaitwa "kamati ya usajili" umepitwa na wakati. Teua mtu mmoja au wamezidi sana wawili wape hiyo kazi washirikiane na bechi la ufundi biashara imeisha. Na wakati mzuri wa kusajili wachezaji ni wakati ligi zinaendelea. Kipindi hiki ni kumalizia tu kumsainisha tu mchezaji ajiunge na "pre season". Huyo Ecua toka amezungumzwa miezi miwili sasa viongozi ndio wanakurupuka sasa hizi. Hii Simba miaka yote tabia zao ni hizi hizi kama Arsenal ya mzee Wenger ina data ya wachezaji wengi wazuri halafu wanaishia kusajiliwa na timu nyingine.Simba SC wanaangalia uwezekano wa kuingilia dili la Celestin Ecua kutua Yanga
Kwani Aziz Ki alienda Wydad akitokea Klabu za Afrika ya Kusini au Magharibi?!Kwani Aziz ki ni wa Afrika mashariki
Unapigwa pipe na Wasira#TikiKwaSamia
Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
Wewe Jamaa ni faller saanaa#TikiKwaSamia
Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
Mambo ya mikataba ndugu. Wachezaji wa kiafrika siyo waaminifu. Anasaini huku na hukuHapa unatuchanganya unaposema Simba wameingilia tena
Huyu ecua nipe sifa zake kidogo mkuuMambo ya mikataba ndugu. Wachezaji wa kiafrika siyo waaminifu. Anasaini huku na huku
Wananchi waelewa sanaUngewasaidia kuwatafsiria sijui kama wameelewa
Nguvu, kasi, yuko direct, anapita katikati, kulia na kushota. Ni nunda. Yanga wamepata mchezaji mzuri na vyovyote vile itakavyokuwaHuyu ecua nipe sifa zake kidogo mkuu
Active, Moderator, kwani hamuwezi kabisa kumzuia huyu member uwezo wa kuchangia kwenye hili jukwaa la michezo! Au haya maandishi yake kuyahamishia kwenye jukwaa la siasa?#TikiKwaSamia
Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
Nimesikitika sana huyu mchezaji ningekua naifanya kazi ya scout simba angetua msimbazi...Nguvu, kasi, yuko direct, anapita katikati, kulia na kushota. Ni nunda. Yanga wamepata mchezaji mzuri na vyovyote vile itakavyokuwa