Mavambo na Ngoma at once? Nadhani mbaya wa Mavambo kaondokaCAPO DELGADO mpe boss mo huyo defensive midfield ..
Hichilema mavambo si anaondoka...
Nasisitiza wachezaji hawatafutwi mtu kukaa ofisini, hakuna mtu mwenye jicho Kali la scout pale Simba ...wanaotea otea tu...RIP hanspope..
Basi abaki mana nimesikia wanataka kumuondoaMavambo na Ngoma at once? Nadhani mbaya wa Mavambo kaondoka
Kila mwaka machaguo yao ya kwanza na ya pili yanachukuliwa na timu nyingine. Ikifika mahali Mo na Mangungu wameshasuluhishwa inabidi wachukue tu kilichopo sokoni wakati "cream" imeshaenda Yanga na timu nyingine. Sasa sikilizia kispika kitapoanza kuwapamba hao wachezaji chaguo la tatu na nne unaweza dhani Simba itachukua ubingwa mapema tu duru la kwanza. Na mbaya zaidi maandalizi ya timu nje ya nchi yanapewa kipau mbele badala waongezee kwenye usajili wasajili wachezaji wazuri maandalizi yafanyike hapa hapa Bunju. Mchezaji akijua anajua tu hata kama uwanja wa mazoezi ukiwa Kinesi.Mpaka sasa hadi kwenye usajili Simba wanaonekana failure,Azam ,Yanga,Big Stars wanapambana, kamati ya usajili ya Simba ni mazumbekuku
Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba
Umri wake safi kabisa ...mid 20'sSouleymane Coulibally anaweza kusaini Simba
Huyu mwamba sijui alipatwa na nini ..Keep ana eye on Fondoh Malone
Mkuu ni Souleymane Coulibally yule beki wakati wa ASEC au yule mshambuliaji mzee wa Pickering ya England?Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba
Huyu sioni kama atatufaa wananchi. Anyway usajili ni Kama bettingOffen Chikola anaweza kujiunga na Young Africans
Beki mkuuMkuu ni Souleymane Coulibally yule beki wakati wa ASEC au yule mshambuliaji mzee wa Pickering ya England?
Kama ni yule beki wa kati wa ASEC Simba watakuwa wamepata mtu sahihi maana jamaa hana ujinga wa "back pass" za kijinga jinga yeye ni mbele kwa mbele na pasi zake ndefu zina macho kwa asilimia kubwa zinafika kwa usahihi. Labda Fadlu na benchi lake waje wamuharibu.
Mkuu vipi kuhusu usajili wa yule beki wa al hilal Khadim Diaw nilisikia anaenda unyamaniBeki mkuu
Ilikuwa imeniacha. NimeipataThank you...
Azam walaumiwe...!Jamaa injury zimemmaliza, a true soldier lakini