- Thread starter
- #221
Angalia anavyocheza , muda mwingine magoli yanadanganya. Jamaa ni mzuriKwa takwinu namuona ni striker wa kawaida
Ana goals 15 mashindano yote kuanzia ligi, fa, CAFCC
Angalia anavyocheza , muda mwingine magoli yanadanganya. Jamaa ni mzuriKwa takwinu namuona ni striker wa kawaida
Ana goals 15 mashindano yote kuanzia ligi, fa, CAFCC
Ni 9 kumbe, sawa.Ni namba 9
Sio kwamba watu wanataka tu tetesi bali wanataka tetesi za kuaminika, tetesi zako huwa ni za kuaminika ni kama mtu ambaye yupo jikoni kabisa. HongeraDirisha hili sikuwa hata na mpango kuweka uzi wa tetesi nikisubiri pengine na mwingine atuletee, wadau wengi walinisihi ikabidi niwatii.
Wengine wakafika mbali kusema mshikaji ni kolo hivyo anaugulia maumivu ya kukosa kombe. This time around Azam na Yanga siwaachi kwa kila mpango wao wa usajili, Singida pia.
Siyo kwamba sifahamu mipango ya timu ndogo, nadhani wanajamvi hawana interest nazo sana.
Asante sana.Sio kwamba watu wanataka tu tetesi bali wanataka tetesi za kuaminika, tetesi zako huwa ni za kuaminika ni kama mtu ambaye yupo jikoni kabisa. Hongera
Hizo timu ndogo nazo ni muhimu kwani ndiko waliko jazana wadogo zetu wa kibongo huko.Dirisha hili sikuwa hata na mpango kuweka uzi wa tetesi nikisubiri pengine na mwingine atuletee, wadau wengi walinisihi ikabidi niwatii.
Wengine wakafika mbali kusema mshikaji ni kolo hivyo anaugulia maumivu ya kukosa kombe. This time around Azam na Yanga siwaachi kwa kila mpango wao wa usajili, Singida pia.
Siyo kwamba sifahamu mipango ya timu ndogo, nadhani wanajamvi hawana interest nazo sana.
Abuya walishaamua kumtema, amekuja kuibukia mechi za mwisho hiyo imeshindwa kumsaidiaMkude na Sureboy ni wachezaji wa ndani hao sio wa kimataifa. Sijui wameona nini kwa Abuya
Labda waombe wengi na timu ndogo nizijumuishe maana nitakuwa najaza mkeka hadi uchovu kwa machoHizo timu ndogo nazo ni muhimu kwani ndiko waliko jazana wadogo zetu wa kibongo huko.
Ya Abuya nimeamua kuifuta maana nimeona nachukizana na mashabiki wenzangu wa Yanga . Wengi hawataki kuisikia. Namuombea tu abaki YangaAbuya walishaamua kumtema, amekuja kuibukia mechi za mwisho hiyo imeshindwa kumsaidia
Namba ngapi huyu na anatokea team gan?Offen Chikola mbioni kusaini Yanga
Ni usajili wa ndani kutoka Tabora, ni wingaNamba ngapi huyu na anatokea team gan?
Mkuu wewe Yanga tokea lini? Wakati ni wazi wewe ni Msimbazi pureYa Abuya nimeamua kuifuta maana nimeona nachukizana na mashabiki wenzangu wa Yanga . Wengi hawataki kuisikia. Namuombea tu abaki Yanga
Siyo mtanzania lakin?Ni usajili wa ndani kutoka Tabora, ni winga
Sijawahi taja timu yangu japo watu huniita insider wa Simba wengine huenda mbali na kuniita MangunguMkuu wewe Yanga tokea lini? Wakati ni wazi wewe ni Msimbazi pure
Kuhusu Abuya, kama tetesi zipo hivyo hakuna haja ya kufuta maana unawasilisha kitu kilicho katika uhalisia haijarisha inampendeza shabiki au inamchukiza ila uhalisia upo hivyo
No pleaseMpanzu to yanga here we go
Ni mtanzaniaSiyo mtanzania lakin?
Chama aje simba kufanya nini?Za ndaaaaaani kabisa...
Chama anarudi Simba.
Hujawahi kutaja timu ila mahaba yako ulishawahi kuonesha yapo upande upiSijawahi taja timu yangu japo watu huniita insider wa Simba wengine huenda mbali na kuniita Mangungu