Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mheshimiwa Hichilema kwa nini Simba inasajili wachezaji legelege wengi tena kwa mbwembwe nyingi badala ya kusajili wachezaji shupavu kama baadhi ya wale wa Singida Black Stars au Tabora United?.

Kuna haja gani ya kumiliki mabeki wazito wa kigeni wakati wapo Waswahili wepesi wazuri tu kuliko akina Kalaboue?.

Mwaka huu tumieni nguvu nyingi kuchukua wachezaji wanaocheza ligi ya hapahapa Tanganyika hata kama ni wachezaji wa kigeni kutoka Azam fc, Jkt, Singida Black Stars, Tabora United n.k kisha muongeze wawili au mwisho watatu wasiotoka ligi yetu.

Mkifanya hivyo ubingwa wa NBC na CRDB Cup mtaupata, ila mkiendelea kusajili wachezaji aina ya Mtale, Ahoua, Okojepha, Kalaboue, Ateba n.k, mtaishia kushinda mechi laini na ubingwa mtaendelea kuusikia.

Mwisho angalieni upya ubora wa kocha, anacheza mpira wa hovyo yaani back pass na sideway pass ndo nyingi na timu iko slow mno.

Pia kocha huyu wa sasa anaua viwango vya wachezaji wengi kwa kuwanyima nafasi ya kucheza, mfano ni Chasambi, Balua, Mzamiru, Mavambo, Kijili na wengineo.

Kupanga ni kuchagua, kazi kwenu.
Beki Mtanganyika, yupo yule anayechezea JKT Ruvu ana jina la kichaga hivi. Yule dogo yupo vizuri sana. Simba wakimchukua watakuwa wamelamba dume.
 
1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto)
2. Mourice Abraham ni mnyama
3. Thank you Augustine Okejepha
4. Thank you Kouass Yao
5. Golikipa wa JKT Tanzania , Yakubu Suleiman anavivutia vilabu vya Yanga na Simba
6. Aish Manula anaelekea Azam FC, Yanga pia wanamnyatia
7. Thank you Sure boy
8. Thank you Jonas Mkude
9. Kama Simba itampata winga mwingine, basi itaachana na Joshua Mutale
10. Frolent Ibenge ni kocha mpya wa Azam FC
11. Kiungo raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia anakaribia kujiunga na Young Africans SC
12. Thank you Fabrice Ngoma
13. Thank you Omary Omary
14. Deborah Fernandez Mavambo anaweza kuachwa na Simba SC kama itampata mbadala wake
15. Farid Mussa anaweza kuondoka Yanga
16. Thank you Gibril Sylla
17. Jonathan Ikangalombo anaweza kuachwa na Yanga
18. Ayoub Lakred ameondoka rasmi Simba SC
19. Beki wa Al Hilal ya Sudan, Kadim Diaw anatakiwa na Simba SC
20. Valentine Nouma anaweza kupewa thank you kama Simba itampata Kadim Diaw
21. Celestine Ecua anavipiganisha vilabu vya Simba na Yanga
22. Kennedy Musonda anaweza kuondoka Yanga
23. Lameck Lawi anaelekea Azam FC kama mambo hayatabadilika
Simba SC inasajili ovyo bila mipango ndani ya miaka minne hii. Kila ikikosa taji inasajili wachezaji kuanzia 9-12 kwa mkupuo mmoja. Ni ngumu sana kupata muunganiko kwa haraka tena ndani ya msimu mmoja. Kwa namna wanavyosajili ingebidi wajiwekee plan ya mafanikio baada ya miaka 2 au 3 baada ya usajili.
 
Duke Abuya is my only player kwasasa japo wengi wanampenda Pacome, Abuya kakiwasha mno kwenye derby na kuwatoa kamasi Msimbazi , akiwadhibiti mno, huyu si wa kumtoa Yanga kwasasa, acha hizo basi, mtu akiwadhibiti makolo tu lazima fitna zianze, hata Feitoto alipowalaza Simba na viatu kule kirumba shida ikaanza. Duke bado yupo sana Yanga sababu wakicheza watatu Abuya, Aucho na Mudathir hakuna njia!!
Pale kati lilipigwa pira la uhakika siku ya Derby! Pia Aucho pamoja na kuonekana umri unaelekea kumtupa mkono lakini bado mashine sana! Wote hao miwili tena!
 
Back
Top Bottom