Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mods rekebisheni kidogo ni 2025/2026
Mheshimiwa Hichilema kwa nini Simba inasajili wachezaji legelege wengi tena kwa mbwembwe nyingi badala ya kusajili wachezaji shupavu kama baadhi ya wale wa Singida Black Stars au Tabora United?.

Kuna haja gani ya kumiliki mabeki wazito wa kigeni wakati wapo Waswahili wepesi wazuri tu kuliko akina Kalaboue?.

Mwaka huu tumieni nguvu nyingi kuchukua wachezaji wanaocheza ligi ya hapahapa Tanganyika hata kama ni wachezaji wa kigeni kutoka Azam fc, Jkt, Singida Black Stars, Tabora United n.k kisha muongeze wawili au mwisho watatu wasiotoka ligi yetu.

Mkifanya hivyo ubingwa wa NBC na CRDB Cup mtaupata, ila mkiendelea kusajili wachezaji aina ya Mtale, Ahoua, Okojepha, Kalaboue, Ateba n.k, mtaishia kushinda mechi laini na ubingwa mtaendelea kuusikia.

Mwisho angalieni upya ubora wa kocha, anacheza mpira wa hovyo yaani back pass na sideway pass ndo nyingi na timu iko slow mno.

Pia kocha huyu wa sasa anaua viwango vya wachezaji wengi kwa kuwanyima nafasi ya kucheza, mfano ni Chasambi, Balua, Mzamiru, Mavambo, Kijili na wengineo.

Kupanga ni kuchagua, kazi kwenu.
 
Timu kubwa Zina pressure nyinyi. Kuna mambo mengi sana nyuma ya Kamera. Pengine wachezazi wanaonekana wazuri timu ndogo Ila wakija timu kubwa wataonekana wabovu e.g Akpan. Usajili ni kamali
 
Pamoja na yote sajilini wachezaji shupavu siyo legelege.

Kuna mazingira hayahitaji kipaji tu bali nguvu na ukakamavu. Angalia viungo wa ukabaji walivyo legelege kugombea mipira
ukilinganisha na wale wa timu kama Yanga, Singida black statars, Rs Berkane, Al Ahly, Orlando Pirates au Pyramids.

Hata Ulaya timu nyingi kwa sasa zinasajili watu weusi zaidi si kwa ajili ya kuangalia vipaji bali nishati waliyo nayo kupambana.

Mwisho, nyie falsafa ya kocha wa sasa kucheza taratibu mno inawavutia au ndo mfumo mpya mliouchagua?.
 
Kwahiyo wewe jamaa unadhani HICHILEMA ni kiongozi wa Simba?😃😃😃
 
Mheshimiwa Hichilema kwa nini Simba inasajili wachezaji legelege wengi tena kwa mbwembwe nyingi badala ya kusajili wachezaji shupavu kama baadhi ya wale wa Singida Black Stars au Tabora United?.

Kuna haja gani ya kumiliki mabeki wazito wa kigeni wakati wapo Waswahili wepesi wazuri tu kuliko akina Kalaboue?.

Mwaka huu tumieni nguvu nyingi kuchukua wachezaji wanaocheza ligi ya hapahapa Tanganyika hata kama ni wachezaji wa kigeni kutoka Azam fc, Jkt, Singida Black Stars, Tabora United n.k kisha muongeze wawili au mwisho watatu wasiotoka ligi yetu.

Mkifanya hivyo ubingwa wa NBC na CRDB Cup mtaupata, ila mkiendelea kusajili wachezaji aina ya Mtale, Ahoua, Okojepha, Kalaboue, Ateba n.k, mtaishia kushinda mechi laini na ubingwa mtaendelea kuusikia.

Mwisho angalieni upya ubora wa kocha, anacheza mpira wa hovyo yaani back pass na sideway pass ndo nyingi na timu iko slow mno.

Pia kocha huyu wa sasa anaua viwango vya wachezaji wengi kwa kuwanyima nafasi ya kucheza, mfano ni Chasambi, Balua, Mzamiru, Mavambo, Kijili na wengineo.

Kupanga ni kuchagua, kazi kwenu.
Duh hivi kiungo punda bado yupo....
 
Back
Top Bottom