komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,417
- 2,102
Aisee umenichekesha sana😁😁😁😁Lionel Ateba mbida
THANK YOU VERY MUCH
Aisee umenichekesha sana😁😁😁😁Lionel Ateba mbida
THANK YOU VERY MUCH
Nilisikia yuko Yanga kwa mkopo, ila Yanga ikimalizana vizuri na Polisi ya Kenya atabaki
NdiyoKwa hiyo alikua anapigwa danadana hapa bongo ila mmiliki halali polisi Kenya🤣
Anayeweza muweka bench pale Yanga Feisal eneo la kiungo ni Aucho tu ila Mudathir, Abuya wote wanaweza kabisa kukaa benchi mbele ya Feisal. Yule dogo usimchukulie simple mzee.Ndio utuambie ataenda kumuweka nani bench pale yanga
Hana maajabu yoyote, maoni na mtazamo wako tu huuAnayeweza muweka bench pale Yanga Feisal eneo la kiungo ni Aucho tu ila Mudathir, Abuya wote wanaweza kabisa kukaa benchi mbele ya Feisal. Yule dogo usimchukulie simple mzee.
Hahaha.... Kuna wachezaji kuwambia THANK YOU peke yake haitoshi mkuu inabidi kuongezea na neno VERY MUCH kuweka msisitizo Kwa kuikosesha club mataji yoteAisee umenichekesha sana😁😁😁😁
Yao haondoki yule, inasemakana anapona haraka sana na tayari ameshaanza mazoezi mepesi mepesi! Atakosa mechi chache tu za ufunguzi!Yao majeraha tu aiseeh ila ni mwanajeshi haswa
Kwani Ligi inaanza mwezi wa ngapi?Yao haondoki yule, inasemakana anaconda haraka sana na tayari ameshaanza mazoezi mepesi mepesi! Atakosa mechi chache tu za ufunguzi!
Wa 8 mwishoni!Kwani Ligi inaanza mwezi wa ngapi?
Mwekezaji wa Simba wala hajifichi kuwa anawaza pesa za club bingwa na anafanikiwa kila msimu. Keshawahi fika robo na kina Jobe.Simba SC inasajili ovyo bila mipango ndani ya miaka minne hii. Kila ikikosa taji inasajili wachezaji kuanzia 9-12 kwa mkupuo mmoja. Ni ngumu sana kupata muunganiko kwa haraka tena ndani ya msimu mmoja. Kwa namna wanavyosajili ingebidi wajiwekee plan ya mafanikio baada ya miaka 2 au 3 baada ya usajili.
Hapa wanakosea jamaa ni kocha mzuri..Thank you Kocha wa Yanga, Miloud Hamd
Yanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.Coach wa Yanga Miloud Hamdi amejiunga na timu ya Ismaily Sc huko Egypt
Tayari ametua na Yuko tayari kuanza pre season
Kila la heri coach Miloud Hamdi
Huyo Lulan ashasain Orlando pirates zamaniYanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.
Falsafa ya Yanga na Ibenge haziendani, nadhani wanaosajili kocha upande wa Yanga wamekuwa wazingatiaji sana wa falsafa ya timu. Angalia switch ya Nabi- Gamondi- Ramovich- Miloud unaona timu ime mantain katika mchezo wa aina moja. Ibenge mpira wake ni wa kuvizia na anapenda sana kutumia pesa nyingi kusajili halafu hafiki mbali. Kikubwa wapate kocha mzuri mapema sana na pre season waanze mapema sana wakizingua tena yanatokea yale yale ya klabu bingwa unacheza michezo na makocha wapya wapya kila mara. Quality ya kikosi na aina ya timu zilizopo katika kundi la Yanga ilikuwa sio haki kuishia hatua ya makundi ila mistake zikaigharimuYanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.
Unaongea kama mgonjwa wa kifaduloYanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.
Lulan hajasaini popote. Orlando kapata kocha MmoroccoHuyo Lulan ashasain Orlando pirates zamani
Ibenge anaenda Azam
Labda hapa kumvizia Nabi ambaye Yuko mbioni kuachana na Kaizer chiefs