Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

U
Falsafa ya Yanga na Ibenge haziendani, nadhani wanaosajili kocha upande wa Yanga wamekuwa wazingatiaji sana wa falsafa ya timu. Angalia switch ya Nabi- Gamondi- Ramovich- Miloud unaona timu ime mantain katika mchezo wa aina moja. Ibenge mpira wake ni wa kuvizia na anapenda sana kutumia pesa nyingi kusajili halafu hafiki mbali. Kikubwa wapate kocha mapema sana na pre season waanze mapema sana wakizingua tena yanatokea yale yale ya klabu bingwa unacheza michezo na makocha wapya wapya kila mara. Quality ya kikosi na aina ya timu zilizopo katika kundi la Yanga ilikuwa sio haki kuishia hatua ya makundi ila mistake zikaigharimu
Uko sahihi
 
Yanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.
Ibenge ana type yake ya wachezaji. Mzee wa Haramu football. Wachezaji wa Ibenge Yanga hawazidi wanne hivyo angetakiwa kuvunja kikosi
 
Huyo Lulan ashasain Orlando pirates zamani
Ibenge anaenda Azam
Labda hapa kumvizia Nabi ambaye Yuko mbioni kuachana na Kaizer chiefs
Hizi taarifa zako sijui unaokotaga wapi, mokwena hana timu kwa sasa ila kuna timu kutoka misri ilikuwa inamhitaji sijui wamefikia wapi, nabi kwa sasa hajaongelea lolote kuhusu kuondoka kaizer na ndio kwanza alishawishi wamsajili feisal
 
FB_IMG_1751543212401.jpg
Ni rasmi sasa
 
Duke Abuya is my only player kwasasa japo wengi wanampenda Pacome, Abuya kakiwasha mno kwenye derby na kuwatoa kamasi Msimbazi , akiwadhibiti mno, huyu si wa kumtoa Yanga kwasasa, acha hizo basi, mtu akiwadhibiti makolo tu lazima fitna zianze, hata Feitoto alipowalaza Simba na viatu kule kirumba shida ikaanza. Duke bado yupo sana Yanga sababu wakicheza watatu Abuya, Aucho na Mudathir hakuna njia!!
Kwanini inashangaa watu kumpenda pecome kwa sababu ya duke?? Kwani duke hawezi kuwa bora na bado pecome akawa bora na akapendwa?
 
Unafikiri mkuu watu hawapo wa kufanya haya ...watu tunajua Hadi wachezaji ambao hawajulikani lakin ni moto wa kuotea mbali, Congo huko, Gabon, mali, guinea...watu wanasafri huko nchi mbalimbali , huku wengine unakuta wapo ofisin wanatafuta wachezaj wakiwa ofisin..haya...
😂😂😂 eti ofisini duh mkuu
 
huu uzi ukiwa unausoma hutakiwi kunywa maji, unaweza paliwa 😆,
kuna watu cheka time
 
Yanga wamemchukua Kocha wa Asec Mimosa Julien Chevalier.
Akienda Uto atakuwa amefanya bonge la mistake! Julien ni mtengeneza vipaji wakati Uto wanataka wachezaji waliokuwa tayari kwa ajili ya mataji tz na kufanya vizuri ASEC! Ukiona Kocha anadumu kwenye hizi klabu kwa zaidi ya miaka 5, fahamu lengo kuu la klabu sio mataji unless iwe anatwaa hayo mataji!
 
Back
Top Bottom