Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Akienda Uto atakuwa amefanya bonge la mistake! Julien ni mtengeneza vipaji wakati Uto wanataka wachezaji waliokuwa tayari kwa ajili ya mataji tz na kufanya vizuri ASEC! Ukiona Kocha anadumu kwenye hizi klabu kwa zaidi ya miaka 5, fahamu lengo kuu la klabu sio mataji unless iwe anatwaa hayo mataji!
Tayari amemwaga wino Mkuu.
 
Ulichokiandika umekitafakari vizuri? Kocha ambaye anakuwa na wachezaji wa kawaida kisha ana watengeneza kumfanya kuwa bora, maanake ni mwalimu mzuri hivyo hata ukimletea mchezaji ambaye tayari ameiva hatoshindwa kufanya nae kazi bali ndio kwanza unamlahisishia kazi yake ipasavyo. Kafanya vizuri na wachezaji wa kawaida aliokuwa nao hivyo ukimpa wachezaji top classes ni kitu ambacho umemrahisishia kwavile atakuwa anafundusha mambo machache tu.

Kingine ni kwamba kila timu inakuwa inaweka mipango yake wazi mfano Asec mimosas wao wamekuwa ni kama chuo cha kutengeneza wachezaji na kuwauza, ila Yanga ni sehemu ya kuletewa ambao tayari wameshatengenezeka ili kubeba mataji. Sidhani kama atashindwa kufanya vizuri kwavile kazoea kutengeneza vipaji.
 
Akienda Uto atakuwa amefanya bonge la mistake! Julien ni mtengeneza vipaji wakati Uto wanataka wachezaji waliokuwa tayari kwa ajili ya mataji tz na kufanya vizuri ASEC! Ukiona Kocha anadumu kwenye hizi klabu kwa zaidi ya miaka 5, fahamu lengo kuu la klabu sio mataji unless iwe anatwaa hayo mataji!
Mbona Asec wanabeba makombe ya kwao kila mwaka? Na kila mwaka wapi champions league au confederation cup kwa hatua za juu?
 
Yanga ni sehemu ya kuletewa ambao tayari wameshatengenezeka ili kubeba mataji.
Mataji ni haya ya crdb na nbc lakini. usijisahau ukajiweka level ya kina Al hly, Yanga ndo kwanzaaa safari ya kuwekwa kundi la vilabu vinavyonunua wachezaji quality inafikiriwa kuanza au Labda ipo 20%. Ila kikwetu kwetu NBC wapo overqualified.
 
Kwani kuna sehemu yoyote nimeongelea mataji tofauti na hayo? Au hujui kama timu zetu mafanikio yao ni pale inapocheza robo fainali ya klabu bingwa ndio jambo kubwa na mafanikio makubwa zaidi ni rank ila sio kubeba mataji ya Africa.
 
Timu yetu tumeshakubaliana ni mbovu ndo maana inaishia robo ma fainali shirikisho, tunaongelea ile ya kisiasa iliyopigania uhuru.
 
Wewe Hichilema waambie mabosi huko , wawaangalie Hawa wachezaji na wawasajili ikiwezekana, tofaut na hapo tutaendelea kuhesabu magari mjini , waambie waliopewa dhamana kusaka wachezaji waache usanii na waache kutafuta wachezaji wakiwa ofisini, waache kusajili wachezaji kwa mihemko, mo anajitahid sana na ni kweli ana mapenzi makubwa na Simba ila wasitumie hio kama jambo flan la kufanya Bora liende ...

Anyway,

mshambuliaji
Frank Mbella

Mabeki makatili
Kouakou Koffi ( mguu wa kushoto adimu sana wanaoutumia mguu wa left ) /Abdul Razak fiston/Mohamed Camara / Mohamed konate (right back )

Viungo
Lazare Amani / Gustave Anamu / Prince Soussou ( play maker ) / Alhassan Sylla ( defensive mid)
Moussa Guel (right wing)
Mamadou Koulibaly ( left wing )

MAKIPA
Pape Mamadou Sy
Ali Cisse ( kama unataka mchezaj wa 12 uwanjani )

Mchezaji wa Tanzania hapo wa kumsajili japo ni ngumu kumesa ni Feisal Tu. Kwisha.

NITARUDI HAPA SIMBA DAY nione kama viongozi hua wanachukulia vitu serious ama ndio Bora liende.
NIMEMALIZA.
 
Eng. Hersi anaangalia kama hao wachezaji uliowataja, wanafaa pale Jangwani ili amalize kazi mapema kabisa.
 
Pacome to Simba?

Eng. Hersi anaangalia kama hao wachezaji uliowataja, wanafaa pale Jangwani ili amalize kazi mapema kabisa.
Hata hersi akiwaamgalia na akamsajili mmoja wapo ama wote kabisa sitashtuka..kwanza kuna tabia ama personality hersi anayo , viongoz wengine haswa Simba hawana ndio mana wachezaji kama Aziz ki na pakome walikuja yanga badala ya Simba...anyway
 
Afrika ushindi wa vilabu unapatikana kwa asilimia 90 nje ya uwanja na asilimia 10 ndio kucheza uwanjani.

Ndio maana vilabu vyake vimetolewa club world cup.
Ndiomana kuna Club imebeba vikombe vyote vya ndan ilivyoshiriki. Ila Afrika haikutoboa hata makundi.
 
Back
Top Bottom