Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Uko sahihi Mkuu.
Ila analipwa hela Nyingi sana mshahara wake mrefu sana. Analipwa Dola 9000 kwa mwezi.

Simba walimtegemea mno amewàngusha pakubwa.
Dah Dola 9000 ni nyingi..? hizi timu Sasa wajue Mpira ni pesa ..mpira ni UWEKEZAJI hakuna shortcut..mnawaona pyramids ..
Unapowekeza ndipo utakapopata matokeo chanya ..
 
Timu imeingia mkataba mzito hivi majuzi, wanashindwa kusajili wachezaji kama Feisal, Bala Conte, Ecua, Msindo, Damaro Camara Sasa hizo pesa zinafanya kazi gani?

Simba inaendeshwa kipumbavu sana na wamewafanya mashabiki wao hamnazo, kazi kula viingilio na michango ya mashabiki 🚮🚮🚮
Huwez Amin mkuu ila nasikilizaga wakat mwingine kwenye redio mbao zetu hizi mtu anapiga simu unamsikia akiongea ni kama zuzu flan Yan hawajui kitu wanajua tu kuropoka na huwez Amin hata wanafurahigi sana akina Ahmed Alli na mwenzie kamwe wakiongea Sasa watu Kama Hawa watahoji nini huko ndani ya klabu ambayo ndio ya msingi. ...mara straika refu kama goli watu wanashangilia ...mara kamwe anasema tunaleta kocha kijana kama Mimi watu wanashangilia na makelele 😂😂 watahoji nini , acha akina mo na GSM wapige pesa
Saivi kama mtu unajitambua ufatilie timu yako kwa mbaaaaali...wakisajili sawa, wakifanyaje sawa...ushabiki oyaoya hauna faida
 
Kibu anahaha na wakala wake Carlos Marekani kutafuta Timu ili kibu akae karibu na Familia yake.

Bado ana mkataba na Simba
Carlos mastermind anapiga pesa za timu za kariakoo ...ndio muda wake huu...ila kwa Sasa Ile mbinu yake iliyopita ya kuzusha habar kua kiburi anaenda yanga kwa Sasa Haina impact yoyote ndio mana Yuko huko anamtafutia timu ya ulaya mteja wake ..jamaa alitaka tu apige Dili la mwisho la pesa nyingi kwa kibu kwa timu za kariakoo..Sasa sjui saivi atakuja na mbinu ipi. Nasubiria mana kibu ni kama Yuko hayuko sijaona impact yake kwenye timu...
 
Yule ni stoper Mkuu sema hajapata Beki mzuri wa kusaidiana nae Beki 5 kama Inonga.

Chamou sio winga hadia awe na kasi.
Ni beki mzuri sana akipata Pacha sahihi wa kumfichia mapungufu yake madogo.
Sawa..na kimo kinambeba
 
Balla.jpg


According to exclusive information obtained by Africafoot , the 21-year-old will play in the NBC Premier League next season. The amount of the transaction is estimated at around $600,000. After more than three seasons spent in Tunisia, the former La Louvière Academy player is preparing to take on a new challenge at one of the most successful clubs in East Africa.

Courted for several months by renowned clubs such as Al Ahly, Al Hilal Omdurman and Pyramids FC, Balla Moussa Conté has finally chosen the Young Africans project. According to Africafoot , he had also attracted the interest of European clubs such as Young Boys and FC Zurich .

Having played 21 matches last season, the Guinean defensive midfielder, whose market value is estimated at $550,000, is entering a new important stage in his young career.

MY TAKE: Hizo habari kama ni za kweli basi Simba hatuna uongozi, na ifike wakati sasa tufahamu tatizo wala sio Mangungu. Huyu Mwamba Simba ilianza kumfuatilia tangu dirisha dogo, na sidhani kama Uto walikuwa na lengo nae!
 
Simba ana wakati mgumu sana Sokoni
Hadi sasa amepokwa zaidi ya wachezaji wanne sokoni.

Yanga bingwa.
Kila mwaka wakati wa usajili MO na Ngungu boy wao kazi yao kutunishia misuli wakija wakikaa meza moja sokoni wachezaji wa maana wameisha. Tokea Hans Pope (RIP) ameenda Simba imekuwa mnyonge sana kwa Yanga kwenye kushindana kusajili wachezaji. Ni zaidi ya mwaka sasa Simba wanahangaika na Feisal tu na sio ajabu naye akaenda Yanga. Wanasahau kuwa Feisal akiwa uwanjani atahitaji msaada wa wachezaji wengine wenye viwango kama yeye.
 
Boss ana shida gani? akichek financial statement ana profit ya kutosha hana loss,
Mwarabu pekee anaulevi na mpira sio mhindi wetu,, Kutawala kwa Yanga ni vile Simba tumepunguza budget ya usajili, mmesahau ya aziz ki? Aucho? wote walikuwa mali ya simba ni vile mkono mfupi umetuangusha, ile Yanga ya Bakuli ishafekwa,, hii ya sasa yenye umafia itatutesa sana simba,,

mie nishakubali Yanga bingwa 2025/2026,
 
1. Ok.Hussein kazi anaondoka nadhani Namungo Fc.
2.Kapombe ni hazina ya simba (Rejea onyango Mamelodi).
3.Chemalone anaondoshwa viongozi wanahisi anachomesha makusudi (Duka) viongozi wanajua ana uwezo mkubwa ila
Kocha hamkubali.
5. Chamue anakubalika na kocha
6.Ahoua nae anakubaliwa na kocha Body haimkubali kabisa.

Mo ANAZIGUA SANA HATOI FEDHA.
JAYRUTY NA MO NI KAKA NA DADA.
Duuh hapo ndipo shida inapoanzia, anyway hapo uliposema mo na jayrutty ni kama kaka na dada, umemaanisha nini mkuu
 
Usajili wa kishindo unakuja. Ni mb zako tu
Boss ana shida gani? akichek financial statement ana profit ya kutosha hana loss,
Mwarabu pekee anaulevi na mpira sio mhindi wetu,, Kutawala kwa Yanga ni vile Simba tumepunguza budget ya usajili, mmesahau ya aziz ki? Aucho? wote walikuwa mali ya simba ni vile mkono mfupi umetuangusha, ile Yanga ya Bakuli ishafekwa,, hii ya sasa yenye umafia itatutesa sana simba,,

mie nishakubali Yanga bingwa 2025/2026,
 
Kila mwaka machaguo yao ya kwanza na ya pili yanachukuliwa na timu nyingine. Ikifika mahali Mo na Mangungu wameshasuluhishwa inabidi wachukue tu kilichopo sokoni wakati "cream" imeshaenda Yanga na timu nyingine. Sasa sikilizia kispika kitapoanza kuwapamba hao wachezaji chaguo la tatu na nne unaweza dhani Simba itachukua ubingwa mapema tu duru la kwanza. Na mbaya zaidi maandalizi ya timu nje ya nchi yanapewa kipau mbele badala waongezee kwenye usajili wasajili wachezaji wazuri maandalizi yafanyike hapa hapa Bunju. Mchezaji akijua anajua tu hata kama uwanja wa mazoezi ukiwa Kinesi.
Kuna mcheazji alitambulishwa kuwa ni SGR; aliishia wapi?
 
Back
Top Bottom