Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Simba kuna Upumbavu mwingi sana.

Kamati Ya usajili ikiongozwa na Try Again
Mkuu wale wanachama walioongea Jana nimewwaelewa sana..pale Simba Kuna viongozi kadhaa ni wapigaji wanakula pesa ya mo Bure tu ..watu wamepitia utajiri kupitia mo Bure kabisa pale Simba, unafikiri hata huyo hersi hapigi ila anapiga kwa akili na anakumbuka malengo ya timu na pia anafanya kwa ajili yake kujijengea jina na CV Hana tamaa Wala ulafi na pesa za harakaharaka kama Hawa wa simba ...eti wamemwondoa magori huyu niliejua ndio alijitahidi sana kwenye sajili zilizopita wamemueka huyo mjinga mwingine ..Ina mana hakuna creative mind people Simba die hard wengine? Bodi Ile Ile majina hayo hayo ..🚮
 
Pale wasipotoka wapigaji wanaojulikana itakua hivyo hivyo miaka nenda Rudi...Bora hata magori amejitahid nafas yake...huyo mjinga mwingine aliepewa kusajili ndio sajili zake za akina sawadogo..ngoja kwanza kelele za wanachama ziwe nyingi

Hii timu shida ni viongozi, kila mtu ana interest zake, ni ngumu wote kukubaliana jambo moja. Yanga mwenye kusimamia na kutekeleza mipango ni Hersi tu, ndio maana wanafanikiwa. Hakuna miruzi mingi kama Simba.
 
Sajili za kibongo kuzikubali mpaka uzione baada ya mechi tano za ushindani. Ila sasa hivi ni mipango ya mawakala na wachambuzi wanazivuruga club kwa ajili ya kupata mpunga mrefu tu halafu unakuja kukuta mchezaji ni wa kawaida.
 
Ili Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:

(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.

Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
 
Hii timu shida ni viongozi, kila mtu ana interest zake, ni ngumu wote kukubaliana jambo moja. Yanga mwenye kusimamia na kutekeleza mipango ni Hersi tu, ndio maana wanafanikiwa. Hakuna miruzi mingi kama Simba.
Yan Hadi fadlu ameamua kuingilia kati mana ameona huu ujinga Sasa...
 
Ili Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:

(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.

Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
Umemaliza mkuu
 
kuwapata ni Gharama,
 
Yan Hadi fadlu ameamua kuingilia kati mana ameona huu ujinga Sasa...
Yan mbinu za fadlu ndio zinatakiwa kutumika..lazima sokoni uwe agrresive...mtu umekalisha matako ofisin unataka 10% za Bure tu unachelewesha sajili muhimu unaremba remba pumbavu..
 
Tatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujinga
Mueleze mueleze boya huyo.
 
kuwapata ni Gharama,
Wanayataka wenyewe na ujanja wao wa kutafuna pesa ya MO kirahisi. Sajili wanachama million 10 tu kila mmoja alipe kiingilio TZS 50,000 na ada ya kila mwezi TZS 10,000. Ingefanyika hivyo miaka miwili iliyopita hata Mabululu mwaka jana angesajiliwa Simba wala asingeenda Libya achilia mbali Morilae Syilla kwenye usajili wa mwaka juzi. Swali rahisi kwa nini viongozi wa Simba hawataki kusajili wanachama wapya wakati kuna watu kibao wanataka kuwa wanachama kwa udi na uvumba? Na kwanini viongozi wa Simba wameamua kupambana na wananchama/mashabiki wanaosema ukweli wakina MO, Mnandi, Mwarabu wa Simba, Aggy Simba na Mwakilima kwa kuwatumia wanachama wao machawa wakina Kisugu, GB 64, Mzaramo, Pasi Milioni, Shabani Mpira Pesa na machawa wengineo? Hao machawa ndio wanaendelea kuididimiza Simba badala ya kuisadia.

Uchumi upo lakini viongozi wa Simba wameukalia. Simba inahitaji viongozi wapya vijana wenye maono bila kujali kilitokea nini siku za nyuma. Sioni sababu mpaka leo kwanini bado viongozi wa Simba wanakuwa na bifu na wakina Kaburu, Said Tuli, Kaduguda, Jamhuri, Nkwabi na wengineo ambao wanajua mpira na fitina za mpira wakati wenzao Yanga wamemtanguliza mbele Hersi na Araft huku nyuma wapo wakina Davis Mosha, Seif Magari. Malegeri, Ally Mayai na wengine. Kwa mwendo huu ule utabiri wa Manara kuwa Yanga "back to back" miaka 10 huenda ukatimia.
 
We jamaa! Ulitaka timu ipate mafanikio kupitia ubahili/umaskini?

Soka la kisasa linahitaji uwekezaji wenye gharama kubwa. Na Simba imevuna pesa za Shirikisho.
Na sio tu shirikisho kuna pesa mabilioni yapo mifukoni kwa watu wanaotaka kuwa wanachama kwa nini hawaandikishi wanachama wapya. Mbona hesabu rahisi sana. Viongozi upande wa wanachama bure kabisa kila siku wanalalamika hawana sauti kwa sababu hawana hela wakati wangeweza tu kuandikisha wananchama kwa uchache hata millioni 10 tu ingetosha. Mwekezaji MO aje na pesa zake na wao viongozi upande wa wanachama waje na pesa zao wakutane katikati mambo yangekuwa mswano.
 
We jamaa! Ulitaka timu ipate mafanikio kupitia ubahili/umaskini?

Soka la kisasa linahitaji uwekezaji wenye gharama kubwa. Na Simba imevuna pesa za Shirikisho.
nlivosema kuwapa gharama nlimaanisha ni ngumu Mo kuweka pesa kuchukua wachezaji wenye gharama kubwa, ye huchukua wa bei nafuu kwa mfano Ateba wa bei chee,
kumpata Mabululu au Manzoki ni Pwesa na sio Vijipesa,
pia sajili zetu ni zile za kusubiri mkataba umeisha ndio tunachukua,, kuvunja mikataba hatuwezi ni gharama kubwa
 
Na sio tu shirikisho kuna pesa mabilioni yapo mifukoni kwa watu wanaotaka kuwa wanachama kwa nini hawaandikishi wanachama wapya. Mbona hesabu rahisi sana. Viongozi upande wa wanachama bure kabisa kila siku wanalalamika hawana sauti kwa sababu hawana hela wakati wangeweza tu kuandikisha wananchama kwa uchache hata millioni 10 tu ingetosha. Mwekezaji MO aje na pesa zake na wao viongozi upande wa wanachama waje na pesa zao wakutane katikati mambo yangekuwa mswano.
huu mfumo ndio wa kisasa hata mie natamani tufike huko

ila pale safu ya Uongozi siwaoni wakiweza hili,, itatuchukua mda mrefu,, lakin pia hii kitu si ipo ktk mabadiliko? lile swala la mabadiriko limeishia wapi? nadhani Documentation zimepwaya,, tumekwama hapo, kama kuna mtu mwenye uelewa zaida atukumbushe
 
Souleymane Coulibally anaweza kusaini Simba
Huyu fadlu angeingilia angekuja ..ndio Yale Yale umekaa ofisin unataka mchezaji ..ndio hivyo kaasajiliwa kwingine
 
Attachments

  • 20250711_171703.jpg
    20250711_171703.jpg
    91.1 KB · Views: 23
Back
Top Bottom