Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Boss ana shida gani? akichek financial statement ana profit ya kutosha hana loss,
Mwarabu pekee anaulevi na mpira sio mhindi wetu,, Kutawala kwa Yanga ni vile Simba tumepunguza budget ya usajili, mmesahau ya aziz ki? Aucho? wote walikuwa mali ya simba ni vile mkono mfupi umetuangusha, ile Yanga ya Bakuli ishafekwa,, hii ya sasa yenye umafia itatutesa sana simba,,

mie nishakubali Yanga bingwa 2025/2026,
Wanasema KAMAA TUDUNI TUDANI.
Kama unavyikopesha ndivyo utakavyolipwa.
Chama, Kondeboy na Kuna Mzambia mmoja jina limenitoka, hao wote walikua watue Uto wakati ule wa bakuli, matikeo yake Hanzipopu akatunisha misuli.
 
Hapa hujaandila kimpira mtaalam, soma tena hii comment nadhani umeandika haraka haraka sana kuhusu ibenge, ni sahihi Azam ina shida kibao kutokana na figisu za yanga na SIMBA ila usibeze
Sibezi mkuu, nakwambia ukweli wa mbeleni
 
Balla Moussa Conte ni mnyama
Baada ya fadlu kuingilia kati 😂..Kuna vitu vingine ni vinatia hasira na aibu sana ...hata kocha atakua anashangaa sana...napendekeza Sasa sajili na negotiations zote afanye fadlu Sasa....
Yule ecua angetua kwetu sema ni uzembe tu pumbavu ..ila jamaa naona kajitambulisha mwenyewe kabisa 😂😂 yawezekana anaipenda yanga zaidi...Koulibaly alikua nchini mnampa hela mbuzi aise na Tajir alisema mleteni yoyote anasajili na tuliitaji beki la kutoa kafara kabisa mana fondoh anaondoka..
 
Fadlu aliacha maandiko akaondoka. Hakuna kingine anafanya, hana pochi
 
Ishu sio pochi ...ishu ni kua aggressive kwenye negotiations mjomba ...fadlu aliingilia kati na alimpigia simu wakala wa mchezaji kabisa ...kwani huyo ecua si ni uzembe tu umefanyika...na ilihali tunaitaji straika ..unaleta wachezaj wa Cameroon wenye vitambi ...hersi anapandaga ndege anaenda Hadi kwa mzazi wa mchezaji ...fanya mchezo...utamuwezea wapi mtu wa namna hio...
 
Sawa. Endelea kudanganyana
 
Thank you zinaanza
FB_IMG_1752302127855.jpg
 
Ishu sio pochi ...ishu ni kua aggressive kwenye negotiations mjomba ...fadlu aliingilia kati na alimpigia simu wakala wa mchezaji kabisa ...kwani huyo ecua si ni uzembe tu umefanyika...na ilihali tunaitaji straika ..unaleta wachezaj wa Cameroon wenye vitambi ...hersi anapandaga ndege anaenda Hadi kwa mzazi wa mchezaji ...fanya mchezo...utamuwezea wapi mtu wa namna hio...
🤣
 
Balla Moussa Conte ni mnyama
Huyu mchezaji price yake ni $500,000.
Baadae ilipanda mpk karibu na $600,000.

So ni zaidi ya billion 1,400,000,000/=
Kama kweli kanunuliwa
Ni pesa nyingi sana. Tena ni kiungo ukambaji.
Daaa ingekuwa vyema hio pesa wangemtafuta technical winger kama kina Louis( konde boy).
Wapo unawapata tuu.

Sema tu ni pendekezo la kocha maana timu ikifanya vibaya ili kocha asilalamike.
 
Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.
 
Anayeweza muweka bench pale Yanga Feisal eneo la kiungo ni Aucho tu ila Mudathir, Abuya wote wanaweza kabisa kukaa benchi mbele ya Feisal. Yule dogo usimchukulie simple mzee.
fei hana moyo wa upambanaji. Ni mwepesi wa hasira,mwepesi kuridhika,mtu wa show off na mwepesi pia wa kukata tamaa.
Duke na Yahya ni the best mbele ya fei.
 
Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.
Ila ni pesa nyingi sana.
Nafikili itaathili hata kwa usajili wa wachezaji wengine.
HAijajulikana bajeti Yao ya usajili ni kiasi gani.
Maana kama pacome alikuwa na market ya Tsh million 700,000,000. Aziz ki 500,000,000. Ila huyo kama kweli wamesajili ni takribani billion
1,400,000,000/= ni waarabu wameona tuu kocha wa msambazi anamtaka tuu wakapandisha gharama.

Ila kwa kocha wa simba Aaaa, sio kocha wa kufanya mchezaji mdogo awe mkubwa.
Ateba kamleta yeye, Cameroon alikuwa binge la mchezaji ila kuja huku aaaaa. Hata MVP wa Nigeria kaja huku aaaaa.

Kwa kiungo mkabaji hicho ni kiasi kikubwa sana Cha pesa.
 
Back
Top Bottom