Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Mkuu kocha alimtaka huyo mchezaji Tangu mwanzoni wa msimu huu.Ishu sio kudanganyana mjomba , we have to be serious ...hatuko serious kabisa ukichanganya na upigaji humo humo usanii, kuchomana, ..yetu macho....
Na walipeleka ofa wakambiwa $500,000 wakanegotionate ila walikataa , so mda wote walikaa kimya coz ya pesa ndefu sana.
Yani baada ya utopolo kusikia wanamtaka wao wanapeleka $600,000 inakaribia hicho kiasi.
Kocha wa simba ndo akaanza kumpigia simu wakala , mara aongee na camara , mara na wakala wake.
Na kulazimisha viongozi wamchukue amelazimisha sna Tena sana.
Ndo wanapeleka offer kubwa zaidi ya hio ya yanga, coz ya matakwa tu ya kocha ila sio pendekezo la viongozi wa msimbazi.
Inaonyesha dau ni zaidi ya $600,000 maana inasemekana hio timu walivyoona anatakwa sana walipandisha karibu na Dolla million 1 .
Kama billion 2 na ushee huko.
Japo hakuna taarifa kamili.
Ila kwa Simba hao ni zaidi ya $600,000 ,