Daa na huyu naye kaenda!!1 @ hichilema huko Simba kuna niniHuyu fadlu angeingilia angekuja ..ndio Yale Yale umekaa ofisin unataka mchezaji ..ndio hivyo kaasajiliwa kwingine
Daa na huyu naye kaenda!!1 @ hichilema huko Simba kuna niniHuyu fadlu angeingilia angekuja ..ndio Yale Yale umekaa ofisin unataka mchezaji ..ndio hivyo kaasajiliwa kwingine
kwa wachezaji tulionao hatuna budi kumuelewa,, unadhani ile simba ya moto ya akina Okwi angepata namba?Kibu denis jamaa ana nyota Kali au ana mganga konki, jamaa hua simuelewi kabisa ila mashabiki wa Simba huwaambi kitu Kwa kibu
1. Usiwaamini wasemaji wa timu. Ni waongoinsider mb zipo, usajili umekuwa wa kubahatisha sana, kati ya sajili 10 ni 2 au 3 zinakaribia kilo tulichoaminishwa kipindi kama hiki,,
Ibenge yuko Azam si balaa hili? mshenzi anavojua kusuka timu.
Ni Kuna upumbavu tu ..ipo siku ntavamia hizo ofisi ndio watajua hawajui..mbusi kabisa ..Daa na huyu naye kaenda!!1 @ hichilema huko Simba kuna nini
Hua mnampa mkataba wa mwaka mmoja mmoja nini, maana Kila mwaka lazima awapige biti mmeweke Hela mezani kwanzakwa wachezaji tulionao hatuna budi kumuelewa,, unadhani ile simba ya moto ya akina Okwi angepata namba?
Kweli mkuuSajili za kibongo kuzikubali mpaka uzione baada ya mechi tano za ushindani. Ila sasa hivi ni mipango ya mawakala na wachambuzi wanazivuruga club kwa ajili ya kupata mpunga mrefu tu halafu unakuja kukuta mchezaji ni wa kawaida.
Ana mbadala?Kibu denis jamaa ana nyota Kali au ana mganga konki, jamaa hua simuelewi kabisa ila mashabiki wa Simba huwaambi kitu Kwa kibu
Mchezaji mzuri ni kama mwanamke mzuri. Wenye pesa ndo watamfaidi. Mchezaji anaelea UlayaHuyu fadlu angeingilia angekuja ..ndio Yale Yale umekaa ofisin unataka mchezaji ..ndio hivyo kaasajiliwa kwingine
Sijaelewa swali lako, Kuna mchezaji ambae Hana mbadala???.Ana mbadala?
Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga! Inakuwaje mtu wa umri wako unaandika huku unatetemeka?Duru zibasemaje kuhusu kichapo cha sku 12 mfululizo walichochexea mazayuni?
Ndio maana wanaojua usajili huwa wanamaliza mapema kabla wenye pesa nyingi hawajafika bei. Na hii inafanyika mapema kabla msimu haujaisha maana ligi zikiisha tu soko la usajili linakuwa kichaa hasa.Mchezaji mzuri ni kama mwanamke mzuri. Wenye pesa ndo watamfaidi. Mchezaji anaelea Ulaya
kipindi cha sikukuu vitu bei juu,Ndio maana wanaojua usajili huwa wanamaliza mapema kabla wenye pesa nyingi hawajafika bei. Na hii inafanyika mapema kabla msimu haujaisha maana ligi zikiisha tu soko la usajili linakuwa kichaa hasa.
Kibu na SGR hawanaSijaelewa swali lako, Kuna mchezaji ambae Hana mbadala???.
Mo Hana pesa mkuu?Mchezaji mzuri ni kama mwanamke mzuri. Wenye pesa ndo watamfaidi. Mchezaji anaelea Ulaya
Timu ina viongozi wapumbavu sana ileJoshua Budo mutale SGR.
Is here to stay.
Viongozi wamekubaliana apewe muda.
Simba ina viongozi vichaa
Hahahahaha daah ila simbaYupo sana na wenyewe wanakwambia haachwi eti ni mali ile.
anaitwa Jaribu Tena hahahhaha, huyu jamaa Mungu anamuona kwakweli, nasikia ni kipenz mkubwa wa TajiriMkuu wale wanachama walioongea Jana nimewwaelewa sana..pale Simba Kuna viongozi kadhaa ni wapigaji wanakula pesa ya mo Bure tu ..watu wamepitia utajiri kupitia mo Bure kabisa pale Simba, unafikiri hata huyo hersi hapigi ila anapiga kwa akili na anakumbuka malengo ya timu na pia anafanya kwa ajili yake kujijengea jina na CV Hana tamaa Wala ulafi na pesa za harakaharaka kama Hawa wa simba ...eti wamemwondoa magori huyu niliejua ndio alijitahidi sana kwenye sajili zilizopita wamemueka huyo mjinga mwingine ..Ina mana hakuna creative mind people Simba die hard wengine? Bodi Ile Ile majina hayo hayo ..🚮
Wanayataka wenyewe na ujanja wao wa kutafuna pesa ya MO kirahisi. Sajili wanachama million 10 tu kila mmoja alipe kiingilio TZS 50,000 na ada ya kila mwezi TZS 10,000. Ingefanyika hivyo miaka miwili iliyopita hata Mabululu mwaka jana angesajiliwa Simba wala asingeenda Libya achilia mbali Morilae Syilla kwenye usajili wa mwaka juzi. Swali rahisi kwa nini viongozi wa Simba hawataki kusajili wanachama wapya wakati kuna watu kibao wanataka kuwa wanachama kwa udi na uvumba? Na kwanini viongozi wa Simba wameamua kupambana na wananchama/mashabiki wanaosema ukweli wakina MO, Mnandi, Mwarabu wa Simba, Aggy Simba na Mwakilima kwa kuwatumia wanachama wao machawa wakina Kisugu, GB 64, Mzaramo, Pasi Milioni, Shabani Mpira Pesa na machawa wengineo? Hao machawa ndio wanaendelea kuididimiza Simba badala ya kuisadia.
Uchumi upo lakini viongozi wa Simba wameukalia. Simba inahitaji viongozi wapya vijana wenye maono bila kujali kilitokea nini siku za nyuma. Sioni sababu mpaka leo kwanini bado viongozi wa Simba wanakuwa na bifu na wakina Kaburu, Said Tuli, Kaduguda, Jamhuri, Nkwabi na wengineo ambao wanajua mpira na fitina za mpira wakati wenzao Yanga wamemtanguliza mbele Hersi na Araft huku nyuma wapo wakina Davis Mosha, Seif Magari. Malegeri, Ally Mayai na wengine. Kwa mwendo huu ule utabiri wa Manara kuwa Yanga "back to back" miaka 10 huenda ukatimia
mosi ni kuwa wakisajili wanachama wapya watapoteza uongozi wao kipindi cha uchaguzi, wanaona ni bora wabaki na wanachama wao wazee wa miaka nenda Rudi, kiufupi hawataki mabadiliko yoyote yale!Na sio tu shirikisho kuna pesa mabilioni yapo mifukoni kwa watu wanaotaka kuwa wanachama kwa nini hawaandikishi wanachama wapya. Mbona hesabu rahisi sana. Viongozi upande wa wanachama bure kabisa kila siku wanalalamika hawana sauti kwa sababu hawana hela wakati wangeweza tu kuandikisha wananchama kwa uchache hata millioni 10 tu ingetosha. Mwekezaji MO aje na pesa zake na wao viongozi upande wa wanachama waje na pesa zao wakutane katikati mambo yangekuwa mswano.
Hapa hujaandila kimpira mtaalam, soma tena hii comment nadhani umeandika haraka haraka sana kuhusu ibenge, ni sahihi Azam ina shida kibao kutokana na figisu za yanga na SIMBA ila usibeze1. Usiwaamini wasemaji wa timu. Ni waongo
2. Ibenge hatafanikuwa Azam. Mwisho wa siku ataomba mwenyewe kuvunja mkataba. Robo fainali ya shirikisho hawezi fika hata makundi hawezi