Huyu mbona ndiyo alianza kuwapa thank you zamani tu.Tetesi namba 12 sasa ni rasmi
View attachment 3403225
Huyu mbona ndiyo alianza kuwapa thank you zamani tu.Tetesi namba 12 sasa ni rasmi
View attachment 3403225
😂😂 Kwa pamoja tuseme sisi ni taifa la malofa....anyway unajua kwanini wanamuita mastermind ...hahaha..katoka kwa kibu saivi kahamia kwa zimbwe...Hawa mawakala wa wachezaji bongo watakua wanawalipa.wale waandishi wa habari makanjanja ili wawajaze upepo mabosi...saivi lazima ahamie kwa zimbwe mana kibu hashtui tena..ndio mana anamtafutia mwenyewe timu marekani huko hata hii kumtafutia timu marekani inaweza kua danganya toto anajaribu kugusanisha fuse...fumbavu..Huyu wakala wa zimbwe anawajaza tu upepo Simba mchezaji wake aongezewe mpunga..... Hamna lolote....
Sema huku kwetu Kila mtu anaamua tu kua journalist wa michezo na anapata wafuasi, ulaya Kuna makundi ya journalists.... Top tier 1 kama kina romano, Duncan etc.... Hawezi leta habari kama Hana 100% nayo, na wanatumia pesa nyingi kuwalipa mawakala wa wachezaji na machawa wa timu ambao wako jikoni kabisa ila waweze kupata habari za uhakika , ukibugi tu habari Moja ya uongo watu wanaachana na wewe, huku kwetu mtu anampost celestine Ecua yupo na jezi ya Simba anasema it's a done deal, baada ya siku mbili anampost tena anasema yanga washamaliza nae, na Bado watu wanaendelea kumfatilia, stupid!
Ngoma alishapost kuondoka Simba kuanzia 29th juneHuyu mbona ndiyo alianza kuwapa thank you zamani tu.
Haina maana kusema nani alianza ama nani anaishia nadhan ni utaratibu mzuri wa klabu kutoa shukran officially mana hata timu nyingine zitaamin ni taarifa rasmi kutoka kwenye klabu...Huyu mbona ndiyo alianza kuwapa thank you zamani tu.
Acha ukumah we dogo...humu ndani kama Kuna mtu anagombana na mzabzab basi atakua ana shida ya akili...Nawewe mpelekee mzigo.
Na apigwe ban kabisaAcha ukumah we dogo...humu ndani kama Kuna mtu anagombana na mzabzab basi atakua ana shida ya akili...
Usajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.mashabiki tunaendelea kujitambua, shukrani kwa kulitambua hilo,
ni vile wao wanaingiza pesa ndio maana machungu hawayapati kama sie,
ila pale watakapoanza kupata Hasara ndio akili zitawarudi.
kwa sasa yetu macho tu,, itafika hatua hata kwenda uwanjan tutaacha au simba day wakaenda wachache,,
hapa kikubwa tusiweke matarajio makubwa ili tusiumie zaidi.
Hiyo ndo maana Rage aliwaita mbumbumbuUsajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.
Shida ipo kwa Tarumbeta Ahmed Ally..Maneno mengi kupalilia kibarua chake.Huyo ni wa kunaswa vibao aache kutia watu matumaini hewa.Usajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.
Nashangaa mitaa ya Dar anayozunguka hamna hata watu wanamzomea,jamaa angenyamaza tu kimya kuliko kuongea upupuShida ipo kwa Tarumbeta Ahmed Ally..Maneno mengi kupalilia kibarua chake.Huyo ni wa kunaswa vibao aache kutia watu matumaini hewa.
SIMBA KUACHANA NA WACHEZAJI WAFUATAO WA KIGENI.
1. Valentine Nouma.
2. Chemalone Fondoh.
3.Augustine Okejepha.
4. Fabrice Ngoma.
5. Joshua Mutale.
6. Jean Charles Aohua ( viongozi wanaparangana)
7.Leon ateba.
8. Steven Mukwala. ( Mshahara mkubwa sana Output 0
WACHEZAJI WA NYUMBANI
1. Ally salum.
2.Aishi Manula.
3. Edwin Barua.
4. Mzamiru yasin.
5 . Hussen kazi.
6. Omar omar
Usiwaze mwanangu marefa watatu - boost ...Usajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.
Na ndo staili yake! Nakumbuka kwenye ule mkataba wake 2023/24 ilikuwa hivi hivi, na kweli Simba tukaingia King hasa baada ya kusikia anataka kwenda Uto!Huyu wakala wa zimbwe anawajaza tu upepo Simba mchezaji wake aongezewe mpunga..... Hamna lolote....
Mashabiki oya oya Bado wapo wapo ambao wanaweza kushangilia kuambiwa anakuja straika anachana Hadi nyavu...ila naona wakiendelea kupungua kadri miaka inavyokwenda na sayans na teknolojia inavyozidi kukua....nakuambia kutuliza hii watafanya usajili wa kisiasa anaweza kununuliwa Feisal nakuambia...Nashangaa mitaa ya Dar anayozunguka hamna hata watu wanamzomea,jamaa angenyamaza tu kimya kuliko kuongea upupu
Ndo kazi kuu ya mawakala Kate ulimwenguni kwa sasa. Sioni kosa lake hapo😂😂 Kwa pamoja tuseme sisi ni taifa la malofa....anyway unajua kwanini wanamuita mastermind ...hahaha..katoka kwa kibu saivi kahamia kwa zimbwe...Hawa mawakala wa wachezaji bongo watakua wanawalipa.wale waandishi wa habari makanjanja ili wawajaze upepo mabosi...saivi lazima ahamie kwa zimbwe mana kibu hashtui tena..ndio mana anamtafutia mwenyewe timu marekani huko hata hii kumtafutia timu marekani inaweza kua danganya toto anajaribu kugusanisha fuse...fumbavu..
Usenge utaacha lini?unajua kwa nini nikasema vile na japo najua hata yeye hajachukulia kama tusi?Acha ukumah we dogo...humu ndani kama Kuna mtu anagombana na mzabzab basi atakua ana shida ya akili...
Kipindi kile aliwajaza sauzi top club zote wanamgombeaNa ndo staili yake! Nakumbuka kwenye ule mkataba wake 2023/24 ilikuwa hivi hivi, na kweli Simba tukaingia King hasa baada ya kusikia anataka kwenda Uto!
Mapema sana kukata tamaa dirisha la usaji bado sana lipo wqziUsajili wa Simba misimu iliyopita ulikuwa wa hovyo,lakini Ahmed Ally na kina Magungu wanaaminisha mashabiki makubwa kila msimu,heri wangekaa kimya kuliko kuaminisha watu ujinga,mechi ya Simba itakosa mashabiki maana hamna hata mvuto,kama usajili ndo huu tunazidiwa na Azam na Singida tutarajie msimu mpya tukashika hata namba 4 kwenye msimamo.